Kwenye pombe wateja ni wachache na wasingekusanya zaidi
Issue (JAMBO KUU) sio waziri au Raisat Samia, bali shida iko kwenye KATIBA. Basi!
Tukiishika KATIBA yetu kutokana Mbinguni,makato na kodi yatakuwa hakuna. Ila RAIA watapewa ruzuku. Mbona Nyerere na Karume Baba walifanya hayo. Na hata Magufuli alipambana kwa ajili ya hayo.
Mama una uwezo. Mbona Malkia wa UK, amemudu? Nchi yake haina mafuta, wala gesi, wala madini, wala misitu, shamba hawana. Nusu mwaka nchi ni barafu. Mbona ni matajiri.
Ah!! Wanayo centre of gravity imara - mihimili ya ta taifa lao mi3~
MAJUMBA HAYA MATUKUFU MATATU:
1) Buckingharm palace, alipo Malkia, nchi ni yake na ndiye mkuu wa dini ya taiafa lake.
2) Lumbath Palace alipo askofu mkuu wa Kantibury. Yeye ndiye mkuu wa kanisa LA anglikan. Na ni namba mbili kutoka kwa Malkia.
3) Jumba LA Bunge -10 DOWN STREET (yaani amrisha kumi zifuatwe chini mitaani) alipo Waziri mkuu.
KWA UTATU HUU UTAJIRI WETU UNAMWAGIKIA KWAO, WAKITAKA WASITAKE. Na Mama akakinga kapu lenye kudumisha mfumo huo. Jumba LA nne
4) Jumba LA CW {COMMONWEALTH [UTAJIRI WA PAMOJA] -waliloliita jumba la jumuia ya madola}
Wazungu wakoloni walituvua nguo (MILA, DESTURI NA JADI), tuko uchi. Hatuna maadili. Kizuri kwetu ndicho kibaya na vibaya ndivyo kwetu wametuhalalishia. Serikali kuu ni mradi wao wazungu. Bajeti ikipitishwa wao hufungua maduka yao kusubiri order za idara za manunuzi kutoka mawizarani mwetu.
Mbaya zaidi elimu waliyotufunza imetupa upofu, uziwi na ububu.
Jamani uraisi ni taasisi. KITABU cha uongozi hakipo. Kila aingiaye Ikulu anatumia bongo yake, ila Magufuli. Tutegemee nini?
Magufuli alikuwa na KITABU chake. Akanadi Mungu awekwe MBELE. Ukatuunganisha kwa salamu -SALAMALEKO (Amani iwe nanyi). Anageuka upande huu mwingine anasalimu -BWANA ASIFIWE.
Tunashauri Taasisi ya urais ilione hili Salamu iwe hii~ KWA JINA LA MUNGU WA BABA ZETU NYERERE NA KARUME NA BABU ZETU MKWAWA, KIMWERI NA HOROMBO MUNGU MMOJA, TUMEJISALIMISHA KWAKO; KAZI IENDELEE Q2:133.
HUYU tunayejisalimisha kwake, ndiye MUNGU, katuandikia KATIBA.
KATIBA hii imefichwa MADRASA. Inaitwa KANUNI YA IHSANI PAMOJA NA JUZ'U 3 1) AMMA {Mambo yaweje}, 2) TABARAKA {Tubarikiwe} NA 3) QADSAMIA {Watu wawe Wasikivu}. Ina jumla ya sura 58. Ina Ibara 1139.
Huu ni uchunguzi nimeufanya kwa muda wa miaka 53.
JAMBO NI HILI:
Hela tunazo, lakini mipango tumebaki shule ya Mzungu ~Mihimili angamizi mi3
1) SERIKALI
2) BUNGE na
3) MAHAKAMA.
UTATU HUU NDIO UNA TUTAFUNA. Hiki ndicho kidudu mtu.
Nalia mama NALIA. RAISAT SAMIA TUPO. JAHAZI HALIENDI MRAMA, ISIPOKUWA LIKIPAKIWA VIBAYA.
NCHI YAKO INAHITAJI CENTRE OF GRAVITY KWANZA IJULIKANE IKO WAPI.