new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
Ndio... Umeme wa REA ukinunua elfu 10 unapita units 70+ na una masharti.. ikitokea hizo units 70+ zimeisha kabla ya mwezi ukinunua units tena unapata units chache below 70Mimi mwenyewe ,nimeshtuka, kumbe kuna watu 10000/= wanapata unit 73[emoji1787][emoji1787]
Hukustuka pale chama kilichotumia miaka 20 kuuaminisha umma kuwa fulani ni fisadi halafu kikatumia mwezi kuwaaminisha watanzania kuwa anafaa kuwa rais?Huyu dada ametoa kauli iliyonishangaza sana.
Chadema bado ina tatizo la viongozi makini. Hawaelewi hata wanasimamia kitu gani.
Juzi tu hapa Mama Samia alikuwa anaupiga mwingi...Leo wameanza kumkumbuka Magufuli.
Chadema bado sana kuaminiwa kupewa hata majimbo....Mama Samia shikilia hapo hapo naona walikuwa wanapima kama muziki wako upoje.
View attachment 1864124
Mama anaupiga mwingiπ.Huyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?
Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?
Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
Tunamshukuru mungu wa mbinguni kwa kutuletea mama.Mpenda haki, mzalendo, mcha mungu na mwadilifu.Huyu angalau ni mtetezi wa kweli wa wanyonge,
Anaupiga mwingi.Haahaa pole Sana, Samia suluhu ndo rais wetu, utake usitake.vinginevyo uhame nchi hyo mpaka 2030.Tumechoka nchi yetu kuongozwa kihuni
Anatupeleka pale tunapostahili, huyu Mama kichwa kweli haki ya Mungu.
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ukishaunga umeunga tu hakuna kupingulua mpaka mitano ipite..
Andaa ka tafrija kadogo ka kuomba msamahaπ πMnisamehe sana nilikurupuka
Utahangaika sana kaka.Wakuu
Kama mtaniita mzee wa kukurupuka ni sawa tu maana niliyataka mwenyewe,
Nilimuunga mkono Rais Samia bila kufanya uchunguzi wa kina, kiukweli kiongozi yeyote anaetumia uongozi wake kuumiza wengine kwa namna yeyote ile mimi hua sipo upande wake na kamwe simuungi mkono.
Nilifanya hivo kwa mwendazake na kwa huyu ni hivo hivo kwahiyo najitokeza hadharani kusema kua kwa matendo machache tu na yanayoumiza watu aliyofanya toka kaingia madarakani nasema mimi sipo upande wake kabisa hivo waliodhani vinginevo hapana nimeshtuka nimeshtuka nae ni walewale tu.
AhahhaahUkishaunga umeunga tu hakuna kupingulua mpaka mitano ipite.
Asubiri mitano iishe.Ukishaunga umeunga tu hakuna kupingulua mpaka mitano ipite.
Wakuu
Kama mtaniita mzee wa kukurupuka ni sawa tu maana niliyataka mwenyewe,
Nilimuunga mkono Rais Samia bila kufanya uchunguzi wa kina, kiukweli kiongozi yeyote anaetumia uongozi wake kuumiza wengine kwa namna yeyote ile mimi hua sipo upande wake na kamwe simuungi mkono.
Nilifanya hivo kwa mwendazake na kwa huyu ni hivo hivo kwahiyo najitokeza hadharani kusema kua kwa matendo machache tu na yanayoumiza watu aliyofanya toka kaingia madarakani nasema mimi sipo upande wake kabisa hivo waliodhani vinginevo hapana nimeshtuka nimeshtuka nae ni walewale tu.
Ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23],mkuu umetishaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. sijasoma hata undani wa mada Ila umenivunja mbavu mkuuMnisamehe sana nilikurupuka
Nahisi Makonda amerudi kwenye himaya yake, zile picha hazikuwa za bureWakuu,
Kama mtaniita mzee wa kukurupuka ni sawa tu maana niliyataka mwenyewe. Nilimuunga mkono Rais Samia bila kufanya uchunguzi wa kina, kiukweli kiongozi yeyote anaetumia uongozi wake kuumiza wengine kwa namna yeyote ile mimi hua sipo upande wake na kamwe simuungi mkono.