ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 647
- 706
Mama kudemka nchi imemshinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kauli pana sana hadi uwe mwanafalsafa ndo utaielewa. Kwa kifupi ni hv. Uchumi wa nchi unajengwa na wananchi. Jukumu la raisi ni kusimamia haki basi. Akishindwa wananchi wanamtoa na kumuweka mwingine awawakilisheLakini mnasemaga bora demokrasia kuliko uchumi/maendeleo ya vitu. Kwamba gadafi aliwapa walibya kila kitu kasoro demokrasia hivyo wakamtoa. Sasa basi kuleni demokrasia itumieni kutolea pesa kwenye miamala yenu ya tigo na mpesa.
Yaani anawapora wananchi kidogo walichonacho ili awamwagie mabilioni na matirioni!!!Tulia wewe libavicha! Mama anawakomesha mataga, sukuma gang na marehemu!
Anakusanya hela azimwage mtaani ili nyie mibavicha muwe mnaziokota!
Mwambie pia bavicha mwenzio Malisa aenendelee kuandika zile makala zake uchwara kwamba maama anaupiga mwingi!
ANAUPIGA MWINGI NA Malisa G.JTulia wewe libavicha! Mama anawakomesha mataga, sukuma gang na marehemu!
Anakusanya hela azimwage mtaani ili nyie mibavicha muwe mnaziokota!
Mwambie pia bavicha mwenzio Malisa aenendelee kuandika zile makala zake uchwara kwamba maama anaupiga mwingi!
Serikali ya Magufuli na Samia ilichukua tozo kwa walio jilimbikizia fedha za wananchi kiholela kwa sababu mbalimbali. Moja wapo ikiwa ni uzembe wa taasisi ya Urais. Kwa katiba ya nchi ilivyo, RAIS ni MTAWALA. Magufuli alipokaa kwenye hiyo nafasi, ikulu ikaonekana kwa watu wa kawaida. Maendeleo ya huduma na vitu tukaviona.Tukila ugali tushibe vizuri alafu simu iwe na bundle la kutosha, hatudaiwi kodi nje tunayo Vitz tumepaki. Tunalipwa na serikali. Hela ya bia haipigi chenga alafu tunalo limchepuko la maana hapo limetuli. Kiujumla we have No stress😊😊😊
Kazi kubwa ambayo hua imebaki hapo ni kuilaumu serikali tuu.😀😀😀😀
Hii ni aina fulani ya umbeaNdugu watanzania imefahamika kwamba kumbe lengo la kushusha gharama za kuingiza umeme lengo lake ilikuwa ni kuongeza gharama kwenye matumizi ya unit kumbe kuanzia mwezi huu au ujao usishangae ukiweka Tshs 9000 unapata unit 25 tofauti na hapo mwanzo ambapo ktk Tshs 9000 ulipata unit 73.8kwh.hzo ndio akili za waziri wa fedha na viongozi wake.
Sasa mkuu yaan elfu 9 unapata unit73 una lalamika wakati wengine elf 10 wanapata units 28.Ndugu watanzania imefahamika kwamba kumbe lengo la kushusha gharama za kuingiza umeme lengo lake ilikuwa ni kuongeza gharama kwenye matumizi ya unit kumbe kuanzia mwezi huu au ujao usishangae ukiweka Tshs 9000 unapata unit 25 tofauti na hapo mwanzo ambapo ktk Tshs 9000 ulipata unit 73.8kwh.hzo ndio akili za waziri wa fedha na viongozi wake.
Hilo mimi nilishamalizana nalo tangu awamu ya Magufuli na hasa baada ya oktoba 2020Naandaa waraka kwa ndugu zangu wote ambaye atakuwa ccm mm na yeye tusjuane kuazia wazaz..lazma niwambie hiki sio chama ni kikundi cha wachache wahuni waliopo kwa maslahi yao na familiar zako over
Mimi mwenyewe ,nimeshtuka, kumbe kuna watu 10000/= wanapata unit 73🤣🤣Sasa mkuu yaan elfu 9 unapata unit73 una lalamika wakati wengine elf 10 wanapata units 28.