Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Siyo anapoteza , kishapoteza tayari
 
Ndo mkome kupapatikia watu haraka haraka!

Tuliwaambia adui yenu ni CCM. Siyo Magufuli.

Lakini hamkusikia.

Adui yetu ni ccm, ila dhalimu alikuwa kwenye kundi la adui yetu mkubwa. Mama wa kambo alisifiwa kwa machache mazuri aliyoanza nayo. Ila Kwa sasa honey moon imeisha baada ya kukiuka haki. Lakini yule mtu muovu hata usemeje bado ni chukizo la nguvu kwetu fullstop.
 
Ndo mkome kupapatikia watu haraka haraka!

Tuliwaambia adui yenu ni CCM. Siyo Magufuli.

Lakini hamkusikia.
Kwa hiyo unataka Saccos ya wachaga tuwape nchi,wataiweza kweli na ulafi ule wa mbowe?Pesa za chama zote anazitafuna peke yake,hata ofisi ya mabati kashindwa kuwajengea

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Watumishi tulishachangia Sana maendeleo kwa kunyimwa nyongeza za mishahara,kulipwa madeni, kutumbuliwa na kupanda madaraja...mkashangilia. Sasa hivi Ni zamu ya kila Mtanzania.
 
Hakuna mahali nimesema kuwa nawasemea watanzania. Neno Tanzania lenyewe sijalitaja wewe ndiye umelileta
Hizo fikra zako umepata wapi mamlaka ya kuwasemea watanzania.
 
Aliwahi kuwa na mvuto tangu lini
 
Alipoacha kufuata katiba aliyoapa kuilinda ndio tukagundua yeye ni beki anayedaka mpira ndani ya 18
Mtaimba Nyimbo zooote.... ! Aliacha Lini Kuupiga Mwingi? Mtori ndivyo Ulivyo.. nyama zipo Chini tuendelee kula.
 
Hakuna jambo la maana hata moja alilolifanya tangu awe rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…