Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawahi kusubiri siti zile za karibukaribu.ngoja waje mimi siti ya mbeleeeView attachment 1879977
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Wee ukianza kutongoza Mwanamke kumuoa unaanza kumshawishi kwa kutaja furaha za ndoa au changamoto?
Sasa hivi tuna changamoto kubwa ya kurudisha Uwekezaji na njia bora ni kuwaaminisha mazingira kuwa yameboreshwa sio kuanza kuwapa maangalizo
Siyo kwamba hatutaki chanjo bali chanjo bado muda muafaka wa kupatikana chanjo ya uhakika hivyo mbinu ya magufuli ilikuwa sahihi ni kuvuta subira ,kwa kuwa subira yetu ingetusaidia kujua na kupata chanjo sahihi ,maana hii ya sasa ni chanjo ya kijeshi lazima ule kiapo cha kufa na kuponaChanjo hawaitaki karibia 75% ya watanzania
Tozo mpesa zinaanza kafungwa.
Bei ya mafuta kuna fukuto la kupandishwa nauli au migomo ya daladala.
Miundombinu ya serikali inaungua tu na masoko, Shule sasa miundombinu ya umeme.
Bei ya Mbolea imeanza kuwavuruga wakulima maana msimu wa kilimo unakaribia na serikali imeongeza kodi.
Kafungwa kwa Mbowe na Sabaya kumeigawa nchi.
Rais anawashangaza watu kuzunguka tu nje ya nchi kama Tiara yaani full kupishana angani.
Wezi wameshika mpini tena
Wananchi wanawashangaa watu walioikataa chanjo kuishupalia.
Hakika kitaa kumechafuka aliyekaribu na mama amwambie.
Kipindi kile tulimtuma Rizi leo tutamtuma nani? Anayemjua mtoto wa mama amfikishie ujumbe huu.
Kwenya nyanja ya sexxx malamula lazima atakuwa yupo vizuri ujanani mwake maana ukimsikia anapo ongea ana chekacheka ovyo kicheko cha kitandaniHuyu Mama hakuwahi kufaa kua Rais aa JMT.
Kwa wajanja wanaomzunguka, saizi ni kumshauri tu Mama Safiri...eehh sindo Rais wa Nchi banaa... Anajenga mahusiano.... Sijui Mulamula kazi yake nn
Huku wanabaki wanapigaaa.
Mimi Jiwe, nilimpinga kwenye Masuala ya haki za binadam, siasa .
Huyu Mama yenu, Tunapigwa kote kote, yaan Siasani tunapigwa, Serikani tunapigwa, wanyonge tunapigwa
Uongozi wa mwanamke ni upumbaavu mwingine mm hata wabunge wanawake sitaki ila kwa ujio wa huyu raisi itasaidia kuwafumbua hata wanawake wenyewe kuhusu ili la wanawake kuwa viongozi wa juu maana hadi sasa wanawake wameanza kuona ujinga wa mama kuongozaSIJAWAH KABISA KUAMINI UONGOZI CHINI YA MWANAMKE... SIJAWAHI KABISA.
madikiteita never hed to words, huwa hawajali maneno, hawasikii maneno. Wanachosikia ni mabomu, only bombs, hayo watayasikia na kuyajibu.Kama aliivyonena Mwanabodi Saint Ivuga ,
Kuhusiana na maswala kadha wa kadha kuhusiana na demokrasia na utawala wa sheria kwa awamu hii ya Sita. WANAHARAKATI WENGI NA WANASIASA walikuwa wakijaribu kumuasa Mama afanye kadha wa kadha wa kadha ama aaeche hili na lile. Mwanzoni ni kama alikuwa msikivu kwao lakini baada ya siku 100 za ubatizo hatimaye upepo ukabdili uelekeo na kuwapeleka mchakamchaka kwelikweli...