Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ngoja nikae pembeni na 🍿zangu, huku nishuhudia wabobevu wa mambo ya kisiasa wanavyo tiririka.
 
Kila kitu kinabadilika kutokana na wakati.. Ngoja nikuulize swali mleta mada.. Je yule Lisu aliekuwa anasema kuwa Lowasa ni fisadi namb moja mwaka 2011 hadi 2014 ndio yule yule aliesema kuwa Lowasa sio fisadi mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu? Je uliwahi kuja na uzi wa aina hii kumshangaa Lisu kwa uamuzi wake wa kubadilika badilika kuhusu misimamo yake?

images (7).jpeg

images (12).jpeg

images (11).jpeg

Mleta mada na wengine wa aina yako mnachotakiwa kujua ni kwamba humu JF kuna watu tumeanza kufuatilia siasa toka mw Nyerere alipokuwa mwenyekiti wa CCM kwahiyo tunaijua siasa na tunaifatilia kwa makini sana kuliko mnavyofikiri. Ndo maana mtu akimwaga ugali kwa uzi mbovu kama huu sisi tunamwaga mboga tena yenye pili pili mbuzi ili chakula kisilike.
 
Huku usukumani kuna tetesi kuwa Wajeda walimpa siku 90!!Ajitathmini kama anatosha kuendelea na kiti chake!!!Wazee wananiambia kua wajeda hawakupendezwa na jinsi anavoiendesha nchi!!!inaewezekana mama anapangiwa mambo mengi ya kufanya na CDF NA SIRRO!!!!WAJUZI WATUJUZE!!!
 
Acha ndoto zako mtoa mada mama yupo imara anachapa kazi nchi inaenda kuwa tamu muda sio mrefu.
 
Kashaonja utamu wa urais sasa yezebeli hataki kuona anauacha,ngoja aendelee "kuupiga mwingi" watu waanze kufungua vault.
 
Kule Zanzibar yupo Chogo ndio Raisi Huku Tanganyika yupo Mmakunduchi ndio raisi ,Mbongo anaweza kuwamudu wapemba aka wazanzibari kuwaongoza japo kama ng'ombe lakini Mpemba kuwaongoza wabongo ipo kazi maana wabongo wanajali hela kuliko utu.
Ni bora tukaufanya Unyerere Husein Mwinyi aletwe awe Raisi wa Tanzania. CCM wanaweza kulifanya hili ,wakiamua wanaweza.
Bingwa, nchi yote iko chini ya wavisiwani ingawa kuna kwa jinsi inavyoonekana, serikali kivuli(sio ile ya wabunge wa upinzani) inaikimbiza mchaka mchaka serikali tangible. Yote kwa yote, zote mbili ni pipa na mfuniko.

Mama ka-flop, tuwe wakweli na wala si kosa lake. Tofauti ya Mwalimu anayefundisha na mwanafunzi anayemsikiliza ndio hii tuionayo.

Nina mashaka sana na sifa za kuwa mgombea mwenza zilizowekwa na chama na mamlaka ya huyo mgombea mwenza wawapo madarakani.

Tukianzia kwa Ben, makamu wake angeweza/alikuwa na sifa ya kuliendesha li JMT? Shein je? Kutoka JMT kwenda SMZ, sio demotion? Gharibu??? Au nafasi ya VP ni kama kuwa PA wa raisi?

Kisiasa, hakuna uwezekano kuwa anayekuwa VP anapaswa kuwa na sifa dhaifu ili asim-outshine boss wake?
Kwaharaka haraka, ukimuondoa zero, PMs wengine wooote walionekana wanao uwezo wa kukalia kiti kikuu, je ni kwasababu ya mamlaka na majukumu yaliyo chini yao? Maana, baraza ni la raisi na PM ingawa kisiasa PM anateuliwa kwa mashauriano ya raisi na VP.

VP akijiuzulu au kutolewa basi Raisi naye anatoka, PM akijiuzulu au kutolewa, basi baraza halipo, si ndio hivyo?

Hivi Raisi anaweza kutekwa na akaongoza nchi au akawa bado Raisi ?
Boss, kwa yanayoonekana, una maanisha kutekwa=kupokwa mamlaka? Kama ndivyo, basi hiyo ni tangu siku ya kushika msaafu mbona.

Zaidi ya kusikiliza ripoti za watendaji wake, anapaswa pia kusoma yeye mwenyewe na kuhoji, si tunalo tatizo la kutopenda kusoma! Sasa si huyu wala mkwere wenye hiyo interest ya kusoma, hivyo watendaji wanayo nafasi ya kusema vyovyote mbele yake na akalibeba hivyo. Mambo yalikuwa tofauti kwa JPM, tangu akiwa waziri inaonekana alikuwa akisoma sana maandishi na kuyameza pia, hii ilimfanya kuwa well informed, si anasoma mwenyewe!

Sleeping giant.
 
Mama ni mmoja wa marais waliochukua hatamu kipindi kibaya sana kuwahi kutokea katika nchi hii.... Mama yuko under presssure kuliko Rais yeyote yule kuwahi kuongoza hii nchi...

Vita ni kubwa kuliko mnavyofikiri na vita yenyewe ni kugombea madaraka na unyerere...Tangu kusambaratika kwa kundi la wanamtandao na kuzuka kundi lingine la Wanginging'ombe ukiongeza na brainwashed ya nguvu awamu fulani kwa wadanganyika basi imekuwa hatari sana kuiongoza hii nchi na akili kubwa sana inahitajika kupitisha chombo kwenye rough sea..

Taifa hili kwa wakati huu lingekuwa liko maeneo fulani ya Mashariki ya Kati au west Africa under influence ya french Africa basi sasa hivi tungekuwa kama Yemeni...

MUNGU NI MWEMA TUMUOMBEE MAMA YETU AVUKE SALAMA NA TAIFA LETU LIWE SALAMA.
 
Bingwa, nchi yote iko chini ya wavisiwani ingawa kuna kwa jinsi inavyoonekana, serikali kivuli(sio ile ya wabunge wa upinzani) inaikimbiza mchaka mchaka serikali tangible. Yote kwa yote, zote mbili ni pipa na mfuniko.

Mama ka-flop, tuwe wakweli na wala si kosa lake. Tofauti ya Mwalimu anayefundisha na mwanafunzi anayemsikiliza ndio hii tuionayo.

Nina mashaka sana na sifa za kuwa mgombea mwenza zilizowekwa na chama na mamlaka ya huyo mgombea mwenza wawapo madarakani.

Tukianzia kwa Ben, makamu wake angeweza/alikuwa na sifa ya kuliendesha li JMT? Shein je? Kutoka JMT kwenda SMZ, sio demotion? Gharibu??? Au nafasi ya VP ni kama kuwa PA wa raisi?

Kisiasa, hakuna uwezekano kuwa anayekuwa VP anapaswa kuwa na sifa dhaifu ili asim-outshine boss wake?
Kwaharaka haraka, ukimuondoa zero, PMs wengine wooote walionekana wanao uwezo wa kukalia kiti kikuu, je ni kwasababu ya mamlaka na majukumu yaliyo chini yao? Maana, baraza ni la raisi na PM ingawa kisiasa PM anateuliwa kwa mashauriano ya raisi na VP.

VP akijiuzulu au kutolewa basi Raisi naye anatoka, PM akijiuzulu au kutolewa, basi baraza halipo, si ndio hivyo?

Boss, kwa yanayoonekana, una maanisha kutekwa=kupokwa mamlaka? Kama ndivyo, basi hiyo ni tangu siku ya kushika msaafu mbona.

Zaidi ya kusikiliza ripoti za watendaji wake, anapaswa pia kusoma yeye mwenyewe na kuhoji, si tunalo tatizo la kutopenda kusoma! Sasa si huyu wala mkwere wenye hiyo interest ya kusoma, hivyo watendaji wanayo nafasi ya kusema vyovyote mbele yake na akalibeba hivyo. Mambo yalikuwa tofauti kwa JPM, tangu akiwa waziri inaonekana alikuwa akisoma sana maandishi na kuyameza pia, hii ilimfanya kuwa well informed, si anasoma mwenyewe!

Sleeping giant.
Hatare Kweli Kweli
 
Mkwere alikamata hatamu waziwazi watu wakakoroma akarudi Msoga.

Ila nina wasiwasi kwamba bado amezikamata kwa kificho.
Siro na mabeyo ndo madereva wetu.Mama hatoshi.
Utaratibu wa kurudi kwenye uchaguzi akifa raisi ndo mzuri wananchi wanachagua dereva qualified.
Hii ya kupeana mbaya sana.Uongozi ni kushindanishwa na sio kupewa.
 
Diwan msuya mwenyewe haonekani

TZ kutakuwa na kitu kizito sana
 
Kila kitu kinabadilika kutokana na wakati.. Ngoja nikuulize swali mleta mada.. Je yule Lisu aliekuwa anasema kuwa Lowasa ni fisadi namb moja mwaka 2011 hadi 2014 ndio yule yule aliesema kuwa Lowasa sio fisadi mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu? Je uliwahi kuja na uzi wa aina hii kumshangaa Lisu kwa uamuzi wake wa kubadilika badilika kuhusu misimamo yake?

View attachment 1884945

View attachment 1884949

View attachment 1884950
Mleta mada na wengine wa aina yako mnachotakiwa kujua ni kwamba humu JF kuna watu tumeanza kufuatilia siasa toka mw Nyerere alipokuwa mwenyekiti wa CCM kwahiyo tunaijua siasa na tunaifatilia kwa makini sana kuliko mnavyofikiri. Ndo maana mtu akimwaga ugali kwa uzi mbovu kama huu sisi tunamwaga mboga tena yenye pili pili mbuzi ili chakula kisilike.
Tunapojadili mustakabali wa nchi punguza nyege za uchama. Nyinyi ndio mnaopata tabu na hitaji la katiba mkidhani ni kwa ajili ya Chadema. Tanzania ni zaidi ya Lissu, Mbowe na Lema. Mmepotezea watu muda 60yrs lakini bado mnaendelea na ujinga ule ule
 
Aliyemuibia ile hotuba yake aliyoisoma siku anaapishwa amrudishie tafadhari.
 
Back
Top Bottom