Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bingwa, nchi yote iko chini ya wavisiwani ingawa kuna kwa jinsi inavyoonekana, serikali kivuli(sio ile ya wabunge wa upinzani) inaikimbiza mchaka mchaka serikali tangible. Yote kwa yote, zote mbili ni pipa na mfuniko.Kule Zanzibar yupo Chogo ndio Raisi Huku Tanganyika yupo Mmakunduchi ndio raisi ,Mbongo anaweza kuwamudu wapemba aka wazanzibari kuwaongoza japo kama ng'ombe lakini Mpemba kuwaongoza wabongo ipo kazi maana wabongo wanajali hela kuliko utu.
Ni bora tukaufanya Unyerere Husein Mwinyi aletwe awe Raisi wa Tanzania. CCM wanaweza kulifanya hili ,wakiamua wanaweza.
Boss, kwa yanayoonekana, una maanisha kutekwa=kupokwa mamlaka? Kama ndivyo, basi hiyo ni tangu siku ya kushika msaafu mbona.Hivi Raisi anaweza kutekwa na akaongoza nchi au akawa bado Raisi ?
Hatare Kweli KweliBingwa, nchi yote iko chini ya wavisiwani ingawa kuna kwa jinsi inavyoonekana, serikali kivuli(sio ile ya wabunge wa upinzani) inaikimbiza mchaka mchaka serikali tangible. Yote kwa yote, zote mbili ni pipa na mfuniko.
Mama ka-flop, tuwe wakweli na wala si kosa lake. Tofauti ya Mwalimu anayefundisha na mwanafunzi anayemsikiliza ndio hii tuionayo.
Nina mashaka sana na sifa za kuwa mgombea mwenza zilizowekwa na chama na mamlaka ya huyo mgombea mwenza wawapo madarakani.
Tukianzia kwa Ben, makamu wake angeweza/alikuwa na sifa ya kuliendesha li JMT? Shein je? Kutoka JMT kwenda SMZ, sio demotion? Gharibu??? Au nafasi ya VP ni kama kuwa PA wa raisi?
Kisiasa, hakuna uwezekano kuwa anayekuwa VP anapaswa kuwa na sifa dhaifu ili asim-outshine boss wake?
Kwaharaka haraka, ukimuondoa zero, PMs wengine wooote walionekana wanao uwezo wa kukalia kiti kikuu, je ni kwasababu ya mamlaka na majukumu yaliyo chini yao? Maana, baraza ni la raisi na PM ingawa kisiasa PM anateuliwa kwa mashauriano ya raisi na VP.
VP akijiuzulu au kutolewa basi Raisi naye anatoka, PM akijiuzulu au kutolewa, basi baraza halipo, si ndio hivyo?
Boss, kwa yanayoonekana, una maanisha kutekwa=kupokwa mamlaka? Kama ndivyo, basi hiyo ni tangu siku ya kushika msaafu mbona.
Zaidi ya kusikiliza ripoti za watendaji wake, anapaswa pia kusoma yeye mwenyewe na kuhoji, si tunalo tatizo la kutopenda kusoma! Sasa si huyu wala mkwere wenye hiyo interest ya kusoma, hivyo watendaji wanayo nafasi ya kusema vyovyote mbele yake na akalibeba hivyo. Mambo yalikuwa tofauti kwa JPM, tangu akiwa waziri inaonekana alikuwa akisoma sana maandishi na kuyameza pia, hii ilimfanya kuwa well informed, si anasoma mwenyewe!
Sleeping giant.
Siro na mabeyo ndo madereva wetu.Mama hatoshi.Mkwere alikamata hatamu waziwazi watu wakakoroma akarudi Msoga.
Ila nina wasiwasi kwamba bado amezikamata kwa kificho.
Tunapojadili mustakabali wa nchi punguza nyege za uchama. Nyinyi ndio mnaopata tabu na hitaji la katiba mkidhani ni kwa ajili ya Chadema. Tanzania ni zaidi ya Lissu, Mbowe na Lema. Mmepotezea watu muda 60yrs lakini bado mnaendelea na ujinga ule uleKila kitu kinabadilika kutokana na wakati.. Ngoja nikuulize swali mleta mada.. Je yule Lisu aliekuwa anasema kuwa Lowasa ni fisadi namb moja mwaka 2011 hadi 2014 ndio yule yule aliesema kuwa Lowasa sio fisadi mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu? Je uliwahi kuja na uzi wa aina hii kumshangaa Lisu kwa uamuzi wake wa kubadilika badilika kuhusu misimamo yake?
View attachment 1884945
View attachment 1884949
View attachment 1884950
Mleta mada na wengine wa aina yako mnachotakiwa kujua ni kwamba humu JF kuna watu tumeanza kufuatilia siasa toka mw Nyerere alipokuwa mwenyekiti wa CCM kwahiyo tunaijua siasa na tunaifatilia kwa makini sana kuliko mnavyofikiri. Ndo maana mtu akimwaga ugali kwa uzi mbovu kama huu sisi tunamwaga mboga tena yenye pili pili mbuzi ili chakula kisilike.
TuLia wewe... Mlizoea kiki za dictator.Diwan msuya mwenyewe haonekani
TZ kutakuwa na kitu kizito sana