Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona katiba yenu imewashinda nyi kima. Mbowe mpaka anaowa wake zenu lakini mpo kimya....Tunapojadili mustakabali wa nchi punguza nyege za uchama. Nyinyi ndio mnaopata tabu na hitaji la katiba mkidhani ni kwa ajili ya Chadema. Tanzania ni zaidi ya Lissu, Mbowe na Lema. Mmepotezea watu muda 60yrs lakini bado mnaendelea na ujinga ule ule
Kiki tenaTuLia wewe... Mlizoea kiki za dictator.
Kisu mfupani.Wamarekani waliona ni heri kumpa nchi Obama na Trump kuliko Bi clinton wanayajua haya.Uongozi ni sanaa.
Kweli mdau
Corona imwaacha pabaya sukuma push
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Unayegemea sukuma empire wataongea nini juu ya huyo mama?Huyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?
Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?
Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
Baada ya kumtaja Sirro tu mwili wote umesisimka, ni kamanda wa hovyo kabisa ndani ya jumuiya yetu pendwa ya Afrika Mashariki.Huku usukumani kuna tetesi kuwa Wajeda walimpa siku 90!!Ajitathmini kama anatosha kuendelea na kiti chake!!!Wazee wananiambia kua wajeda hawakupendezwa na jinsi anavoiendesha nchi!!!inaewezekana mama anapangiwa mambo mengi ya kufanya na CDF NA SIRRO!!!!WAJUZI WATUJUZE!!!
Kundi lenu la kihuni limepigwa za shingo mpo chaaliiiiNdio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake.
Umemaliza kaziSasa kama Samia ana cheap popurality sijui Magufuli alikuwa na nini? Maana yeye alimulikwa na Kamara hata akienda kumuomba Mungu wake.
Tulia mzee dawa ikuingie. Mlisema maendeleo ya Tanzania yamecheleweshwa na wapinzani sasa kuanza kijiji, kitongoji mpaka taifa ni CCM tupu.
Usiangalie idadi ya kurasa angalia utekelezaji.
Ubarikiwe sanaSo kwa akili yako miradi ya Chato nayo ataendeleza? Hata daraja la Busisi tunapiga chini kwanza.
Kwani wawekezaji walifukuzwa na kiongozi wa chama cha upinzani?Wee ukianza kutongoza Mwanamke kumuoa unaanza kumshawishi kwa kutaja furaha za ndoa au changamoto?
Sasa hivi tuna changamoto kubwa ya kurudisha Uwekezaji na njia bora ni kuwaaminisha mazingira kuwa yameboreshwa sio kuanza kuwapa maangalizo
Viwanda aliondoka navyo MwijageTuonesheni Tanzania ya viwanda ile kwenye ilani ya 2015.
Aonekani wapi?..kwenye mazishi ya kaka yake hakuwepo?Diwan msuya mwenyewe haonekani
TZ kutakuwa na kitu kizito sana
unarudia ujinga uleule mwenzioMbona katiba yenu imewashinda nyi kima. Mbowe mpaka anaowa wake zenu lakini mpo kimya....
1. Kamati kibao....za kuchunguza hili ama like. Lkn ripoti zake ama zimetupwa au zimekaliwa.
2. Tozo ya miamala imepanda kiasi kwamba kwenye milioni 1 wanakata 31.8k
3. Watu wanalalamikia bei ya petroli, sukari, simenti na umeme kuwa juu mno kuliko nchi jirani, lkn yupo kimya.
4. Na mwisho kabisa. Hataki chokochoko.
Sasa Mimi Sexless nauliza anaupiga mwingi ama "tumepigwa"?
Mtaelewa tu mbwa nyie