Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Tunapojadili mustakabali wa nchi punguza nyege za uchama. Nyinyi ndio mnaopata tabu na hitaji la katiba mkidhani ni kwa ajili ya Chadema. Tanzania ni zaidi ya Lissu, Mbowe na Lema. Mmepotezea watu muda 60yrs lakini bado mnaendelea na ujinga ule ule
Mbona katiba yenu imewashinda nyi kima. Mbowe mpaka anaowa wake zenu lakini mpo kimya....
 
Vita ni kali huku mwigulu,kule sukuma gang,huku mataga,hapa Wana mtandao,Kati msoga line.
Soon maza ataomba poo,vita ya kugombea maslai ya makundi.nchi ipo kwenye autopilot.
 

Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Corona imwaacha pabaya sukuma push
 
Huyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?

Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?

Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
Unayegemea sukuma empire wataongea nini juu ya huyo mama?
 
Huku usukumani kuna tetesi kuwa Wajeda walimpa siku 90!!Ajitathmini kama anatosha kuendelea na kiti chake!!!Wazee wananiambia kua wajeda hawakupendezwa na jinsi anavoiendesha nchi!!!inaewezekana mama anapangiwa mambo mengi ya kufanya na CDF NA SIRRO!!!!WAJUZI WATUJUZE!!!
Baada ya kumtaja Sirro tu mwili wote umesisimka, ni kamanda wa hovyo kabisa ndani ya jumuiya yetu pendwa ya Afrika Mashariki.
 
Sasa kama Samia ana cheap popurality sijui Magufuli alikuwa na nini? Maana yeye alimulikwa na Kamara hata akienda kumuomba Mungu wake.

Tulia mzee dawa ikuingie. Mlisema maendeleo ya Tanzania yamecheleweshwa na wapinzani sasa kuanza kijiji, kitongoji mpaka taifa ni CCM tupu.

Usiangalie idadi ya kurasa angalia utekelezaji.
Umemaliza kazi
 
Wee ukianza kutongoza Mwanamke kumuoa unaanza kumshawishi kwa kutaja furaha za ndoa au changamoto?

Sasa hivi tuna changamoto kubwa ya kurudisha Uwekezaji na njia bora ni kuwaaminisha mazingira kuwa yameboreshwa sio kuanza kuwapa maangalizo
Kwani wawekezaji walifukuzwa na kiongozi wa chama cha upinzani?
 
1. Kamati kibao....za kuchunguza hili ama like. Lkn ripoti zake ama zimetupwa au zimekaliwa.
2. Tozo ya miamala imepanda kiasi kwamba kwenye milioni 1 wanakata 31.8k
3. Watu wanalalamikia bei ya petroli, sukari, simenti na umeme kuwa juu mno kuliko nchi jirani, lkn yupo kimya.
4. Na mwisho kabisa. Hataki chokochoko.

Sasa Mimi Sexless nauliza anaupiga mwingi ama "tumepigwa"?

Tumepigwa, Bila hata kupapasa.
 
Mtaelewa tu mbwa nyie

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Napenda sana kuona vita ikiendelea kati ya MATAGA na BAVICHA. Endeleeni kurumbana ila mwisho wa siku raia tunataka maisha Bora. Gharama ya maisha iko juu sana kwa sasa kuliko Hata kipindi cha Mwendazake
 
Back
Top Bottom