Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tofauti ya mama na hayati mxee Magu ni kwamba mama anaupiga mwingi sana.
Naomba mama aendelee kuupiga mwingi.
😀😀Point ipo Happ tu mzigo wa mjerumani wanasema wametia chumviTwendeni tukapatiwe chanjo nasikia kuna mzigo wa kutosha.
Bongo nchi ya mazezeta, kila awamu kiongozi huiburuza nchi anavyojisikia na huwa hakosi mazezeta ya kumsifia.Issue za watu kubambikiwa kesi zinaendelea kwa kasi, wapinzani wanatishwa na kunyanyaswa, mbaya zaidi awamu hii wananchi wa kawaida hatusikilizwi kabisaa bora mara 10 enzi za mwendazake.
Si mmesikia yule raia mzalendo aliyefungua kesi mahakamani kupinga tozo za miamala ya simu kaitwa uhamiaji kuchunguzwa uraia wake? Kama si udikteta ni nini?
Alafu kuna watu watakuambia eti mama anaupiga mwingiiii. Ndio maana mfumo wa elimu wa nchi hii umevurugwa maksudi ili wajinga wawe wengi.
Alianza vizuri na sasa mfumo umemkumbatia.
Twendeni tukapatiwe chanjo nasikia kuna mzigo wa kutosha.
Huyu bibi ni hatari snIssue za watu kubambikiwa kesi zinaendelea kwa kasi, wapinzani wanatishwa na kunyanyaswa, mbaya zaidi awamu hii wananchi wa kawaida hatusikilizwi kabisaa bora mara 10 enzi za mwendazake.
Si mmesikia yule raia mzalendo aliyefungua kesi mahakamani kupinga tozo za miamala ya simu kaitwa uhamiaji kuchunguzwa uraia wake? Kama si udikteta ni nini?
Alafu kuna watu watakuambia eti mama anaupiga mwingiiii. Ndio maana mfumo wa elimu wa nchi hii umevurugwa maksudi ili wajinga wawe wengi.
Alianza vizuri na sasa mfumo umemkumbatia.
Twendeni tukapatiwe chanjo nasikia kuna mzigo wa kutosha.
Issue za watu kubambikiwa kesi zinaendelea kwa kasi, wapinzani wanatishwa na kunyanyaswa, mbaya zaidi awamu hii wananchi wa kawaida hatusikilizwi kabisaa bora mara 10 enzi za mwendazake.
Si mmesikia yule raia mzalendo aliyefungua kesi mahakamani kupinga tozo za miamala ya simu kaitwa uhamiaji kuchunguzwa uraia wake? Kama si udikteta ni nini?
Alafu kuna watu watakuambia eti mama anaupiga mwingiiii. Ndio maana mfumo wa elimu wa nchi hii umevurugwa maksudi ili wajinga wawe wengi.
Alianza vizuri na sasa mfumo umemkumbatia.
Twendeni tukapatiwe chanjo nasikia kuna mzigo wa kutosha.
Jk mnamsingizia hawezi kumshauri hayo...wewe sema mama haba uwezo hata wa kuongoza familia yake ndio mana anashauriwa na mkwe wake.Haeleweki na sidhani hata kama yupo mwenye akili anamwelewa huyo mwanamke.
Kwa jicho la wazi kabisa Samia ni Rais wa bahati mbaya na hana huo uwezo wa kuongoza kama Amri Jeshi Mkuu wa Nchi yetu-hastahili.
Huwezi ukawa kiongozi wa kuelekezwa hasa na mustaafu fulani eti kipi ufanye ama lipi usifanye.
Rais wa Nchi ni mtu anayetakiwa awe mwamba na mtu anayejiamini mwenye uwezo wa kuamini na kuamuru hili ni hili na lile ni lile tena kwa sauti na mamlaka iliyonyooka.
Huyo mama yenu tumepigwa hasa sisi wana CCM.
Hata hao wasaidizi wake kwenye chama yote ni kama mboga tena mlenda kuanzia Katibu mkuu wa chama na wasaidizi wake.
Hovyo kabisa!
Tunakubali sana sera za mamaMataga Kama humkubaliani na sera za mama hameni nchi
Unaonaje nchu nje ya mikono ya wahuniHamkutegemea kuwa nchi itatoka mikononi mwa wahuni mapema hivi.
Rudiini mapangoni mlikokuwa muache kutupigia makelele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mkuu!Kwahiyo unasema Mama bado anakaimu Urais
Mbona nilimuona akiapishwa kuwa Rais
Mama aachwe atuvushe, Mataga rudini Vijijini mkarogane.
SanaaaaaaTunamshukuru mungu wa mbinguni kwa kutuletea mama.Mpenda haki, mzalendo, mcha mungu na mwadilifu.Huyu angalau ni mtetezi wa kweli wa wanyonge
Sana mama chapa kaziiiiiiMama chapa kazi hawa mataga wakalime Ngubalu...
KabisaaaaaaNaona Mataga mmetumwa kuja kumchafua Bi Mkubwa kwa bidii kweli kweli[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]acheni upumbavu huyu ndiye Rais wetu kwa sasa tunajua tulipokuwa kabla yake na tulipo sasa baada yake pia tunaamini Kule atakapo tupeleka,huo upumbavu wenu pelekeni kitovuni