Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa sisiemu kodi haikuhusu ....sasa ni kusona kiarabu tu namba hazisomekiUkiweka salio wanakata
Ukituma ela wanakata
Ukitoa ela wanakata
Ukibonyeza menu ya mobile service ya kibenki wanakata
Sasa ukinunua luku wanakata
Ukipokea salary wanakata
Ukiomba mkopo benki wanakata
Ukinunua bidhaa wanakata VAT
Yaani kila unachofanya serikali inahakikisha unateseka, yaani nikipiga hesabu kodi ninazolipa per day sio mchezo
Wewe utakuwa mpigaji,mirija ya upigaji,mumefungiwa,sasa mnapiga kelele.Huyu ndio Rais,tuliyemtarajia watanzania,Mungu azidi kumpa nguvu,ili tuishi kwa furaha.Hizi kodi alizozitunga samia na watu wake sijui amezitoa wapi?
Ni nchi gani duniani inatoza kodi kwenye miamala ya fedha ama manunuzi ya kielekroniki?
Anayetuma fedha anakatwa, anayepokea anakatwa. Muamala mmoja una VAT, TOZO, service charge, sijui EWERU, REA, kodi ya jengo, uliona wapii?
Nchi hii ina kila rasilimali ambazo zinaweza kutulisha hata miaka mia moja bila kuzalisha chochote!
Mmewafungulia mabeberu wanachota madini kama njugu, wanasomba gases, wanapora wanyama na trophies.... ati ndio mnafungulia uchumi!!
Fedha za bandari zinapigwa, miradi inapigwa, ufisadi wizi kila mahali. Hiyo haitoshi, mama huyu kaamua ageukie kuwanyonya masikini!
Hata ukiweka mia kwenye simu wanaifyeka!!
Kama nchi imekushinda NG'ATUKA, ONDOKAA, ACHAAAAA, TOKAAA, SEPAAAA!!!!
Sio lazima kila mtu awe Rais, wengine mbaki kuwa wasaidizi wa nyumbani tu wa kawaida (ordinary house servants).
Kuwa Rais wa nchi kunahitaji mawazo mapana, utulivu wa akili na nafsi. Not everyone can be president!
Tunahitaji Rais anayejitambua na kutambua nini wananchi wanataka na nini nchi inataka!
Lakini kwa mama huyu, HAPANA.
Toza inakwenda tumika kwa ajili yetu sisi,ikiwa tutakuwa na vituo vya afya,mashule,barabara,taa za barabarani nk,tutafaidika sisi.Kuna vichaa wanasifia, huko tuendako tutakuwa tunafanya kazi vipato vyote viishie kwenye tozo.
Acha kulia lia, hakuna nchi inayoebdesha bila kuchangia maendeleo,kupitia mwananchi.Lipa kodi kwa maendeleo yako.Ukiweka salio wanakata
Ukituma ela wanakata
Ukitoa ela wanakata
Ukibonyeza menu ya mobile service ya kibenki wanakata
Sasa ukinunua luku wanakata
Ukipokea salary wanakata
Ukiomba mkopo benki wanakata
Ukinunua bidhaa wanakata VAT
Yaani kila unachofanya serikali inahakikisha unateseka, yaani nikipiga hesabu kodi ninazolipa per day sio mchezo
Giza unaona wewe,sisi wengine mwangaza,tunauona,fanyeni kazi,toa kodi,ili upate maendeleo.Watanzania tuombe kwa Mungu naona giza mbele
Mkuu ukiweka namba ya kadi ya uanachama wa CCM hawakati hizo tozo!Hizi kodi alizozitunga samia na watu wake sijui amezitoa wapi?
Ni nchi gani duniani inatoza kodi kwenye miamala ya fedha ama manunuzi ya kielekroniki?
Anayetuma fedha anakatwa, anayepokea anakatwa. Muamala mmoja una VAT, TOZO, service charge, sijui EWERU, REA, kodi ya jengo, uliona wapii?
Nchi hii ina kila rasilimali ambazo zinaweza kutulisha hata miaka mia moja bila kuzalisha chochote!
Mmewafungulia mabeberu wanachota madini kama njugu, wanasomba gases, wanapora wanyama na trophies.... ati ndio mnafungulia uchumi!!
Fedha za bandari zinapigwa, miradi inapigwa, ufisadi wizi kila mahali. Hiyo haitoshi, mama huyu kaamua ageukie kuwanyonya masikini!
Hata ukiweka mia kwenye simu wanaifyeka!!
Kama nchi imekushinda NG'ATUKA, ONDOKAA, ACHAAAAA, TOKAAA, SEPAAAA!!!!
Sio lazima kila mtu awe Rais, wengine mbaki kuwa wasaidizi wa nyumbani tu wa kawaida (ordinary house servants).
Sio lazima ung'ang'anie usichokiweza.... unang'ang'ana tu ng'a ng'a ng'aa.... ACHAA....
Nchi hii ina watanzania zaidi ya milioni hamsini, wasomi, wajuzi, weledi na wenye maarifa. Waachie hao, wewe pumzika.
Kuwa Rais wa nchi kunahitaji mawazo mapana, utulivu wa akili na nafsi. Not everyone can be president!
Tunahitaji Rais anayejitambua na kutambua nini wananchi wanataka na nini nchi inataka!
Lakini kwa mama huyu, HAPANA.
Namba za kiarabu ni 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,kwa nini zisomeke,fanya kazi,acha kulia lia.Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.Ukiwa sisiemu kodi haikuhusu ....sasa ni kusona kiarabu tu namba hazisomeki
Acha kulia lia,fanyakazi,wacha kushinda kwenye vijiwe.Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi,ukiona hospital,shule,barabara,nk,ujuwe yupo aliyelipa kodi,ndio vikawepo hivyo unavyovitumia .Hizi kodi alizozitunga samia na watu wake sijui amezitoa wapi?