Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Huyu mama hana intellectual capacity ya kuongoza nchi. She is weak and incompetent.Hii mada yako inenikumbusha JPM pale alipotoa siri kwamba yeye alimtaka Dr awe makamu wake.
Mara paap, akashauriwa huyu anafaa zaidi atakusaidia.
Na baada ya hapo huyuhuyu akawa VP.
Kwa mtazamo wa jicho la tatu tuloelewa tuling'amua JPM alikuwa akitoa ujumbe upi na kwa nani.
Ila hakuwa na jinsi.
Baadae tukasikia kuna watu wanasusa, na hata kutishia kuondoka, lakini mzee wa pwani akawa anaingilia kati anaamua na yanaisha, ila wawili hawa hawakuwa sawa na kila mmoja alikuwa ana yake kichwani.
Sasa ikawa jioni ikawa usiku kulipokuchwa yeye huyu ni mkuu kabisa, na yule aliefikiriwa kuwa ndie angalau angekuwa mkuu akawahiwa akapewa umakamu.
Yule ndie sera zake zote za uchumi alitunga na zikatufukisha kwenye uchumi wa kati.
Nyerere aliwahi kusema kuwa "The leaders of south tend to keep their people as ignorant in order that you can exploit them better"
Mchezo ukawa umeisha.
Mengine ni kama ulivoelezea tunapigwa kisawasawa, bila kujibu.
Hajui lolote kuhusu uchumi wala kodi.
Ni vyema akajiondoa apishe wengine.