Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ameishaonja kafara ya madaraka mwanzo alikuwa na mipango wa kuachia 2025
Sasa wameishamtamanisha aendelee mpaka 2030 uko tayari kufanya lolote
 
Popote ulipo Hayati Rais Magufuli, tusamehe... uliwahi kusema tutakukumbuka tukajua ni utani. Ila leo ni dhahiri tutakukumbuka.

Baba toka umetuacha mpaka sasa watoa huduma wala wakandarasi wale wakubwa na wadogo. wa nje ama wa ndani hawajalipwa..

Baba ulikuwa unapata wapi fedha za kuendesha miradi?.Baba uliwezaje kufinance miradi yote kwa pamoja?..Hali kwa sasa ni ngumu Baba. Miezi 3 nothing is going on.

Baada ya kipindi cha mpito. Now wanamchi na wafanyabiashara wanataka real things to happen ila hakuna kitu zaidi ya maneno tu. But Baba hawa si walikuwa wasaidizi wako? kwa nini hukuwambia namna ya kupata fedha na ku3ndesha miradi?

Baba umetuachia Taifa ambalo miezi mitatu ijayo tena nchi inagota. Uliondoka mapema bila kuamdaa watu wako vya kutosha.
 
Subiri kushambuliwa mleta mada. Hiyo ni highly likely.....ha ha ha haaaa!
====
Mkuu mmejaribu kutumia taratibu zilizopo mmapate chenu imeshindikana kweli!?
 
Nondo nzito. Sasa sijui kama anasoma maana kama hasomi ni hasara kubwa kwake. Aache kuimba taarabu
 
Unaweza kumwambia kuwa kunavyokuwa na jam unaweza kulazimika kuchepuka
Wee ukianza kutongoza Mwanamke kumuoa unaanza kumshawishi kwa kutaja furaha za ndoa au changamoto?

Sasa hivi tuna changamoto kubwa ya kurudisha Uwekezaji na njia bora ni kuwaaminisha mazingira kuwa yameboreshwa sio kuanza kuwapa maangalizo
 
Siyo kwamba hatutaki chanjo bali chanjo bado muda muafaka wa kupatikana chanjo ya uhakika hivyo mbinu ya magufuli ilikuwa sahihi ni kuvuta subira ,kwa kuwa subira yetu ingetusaidia kujua na kupata chanjo sahihi ,maana hii ya sasa ni chanjo ya kijeshi lazima ule kiapo cha kufa na kupona
 
Kwenya nyanja ya sexxx malamula lazima atakuwa yupo vizuri ujanani mwake maana ukimsikia anapo ongea ana chekacheka ovyo kicheko cha kitandani
 
Reactions: BRB
SIJAWAH KABISA KUAMINI UONGOZI CHINI YA MWANAMKE... SIJAWAHI KABISA.
Uongozi wa mwanamke ni upumbaavu mwingine mm hata wabunge wanawake sitaki ila kwa ujio wa huyu raisi itasaidia kuwafumbua hata wanawake wenyewe kuhusu ili la wanawake kuwa viongozi wa juu maana hadi sasa wanawake wameanza kuona ujinga wa mama kuongoza
 
Kama aliivyonena Mwanabodi Saint Ivuga ,

Kuhusiana na maswala kadha wa kadha kuhusiana na demokrasia na utawala wa sheria kwa awamu hii ya Sita. WANAHARAKATI WENGI NA WANASIASA walikuwa wakijaribu kumuasa Mama afanye kadha wa kadha wa kadha ama aaeche hili na lile. Mwanzoni ni kama alikuwa msikivu kwao lakini baada ya siku 100 za ubatizo hatimaye upepo ukabdili uelekeo na kuwapeleka mchakamchaka kwelikweli.

Kinachofuata ni kukimbiza malalamiko nje ya nchi na kweli tumeanzakuona wiki hii Jumuiya za kimataifaama wajumbe katika mikutano yao wakisema hili na lile kuhusuiana na hali ya Demokrasia, Haki za kukusanyika na utawala wa sheria kwa ujumla katika nchi hiyo. Taasisi hizo ni kama:
-Tume ya haki za binadamu na utawala bora Africa,
-Umoja wa Ulaya
-Canada kupitia Ubalozi wake
-USA
-Vyombo vya habari vya kimataifa kama Aljazeera, CNN ,BBC , N.K

Achilia hivyo hata hapo nchini Vyama vya siasa kama CUF, ACT , CDM; Kituo cha Haki zaBinadamu, Chama cha wanasheria (TLS),N.K nacyo vimekuwa vikipiga kelele hali hii.

Ukimya wa Mama na uimara anaounesha katika hili ni kipimo tosha kuwa wanaharakati na wanasiasa wasihadaike na upole, ukarimu au muonekano wake. Ni wakati sasa wa kufahamu kuwa Mama ameshajua ukubwa wa Power aliyonayo, ameshatambua nguvu ya kinga alizonazo so hasira, wivu ,adhabu na kuonya anaweza kuumia kuendana na Hulka yake. Si sahihi kusema labda anashawishiwa sana.

Tukikumbuka ukimya huu licha ya matamko ya jumuiya hizo , tunapata mrejeo wa kaka Meko alipoamua kufunga Masikio na kugawa dozi kwa wanaharakati kadha wa kadha wanaojaribu kupingana naye.

Ukimya wa Mama ni Dalili tosha kuwa ameshakomaa, Yupo Imara kama ama zaidi ya Mtangulizi wake. Ni wakati sasa ya wanaharakati hao kubadili Strategy kwani Mama amehsafikia Level ya Meko na anaelekea kuipita, She does not care Anymore
 
madikiteita never hed to words, huwa hawajali maneno, hawasikii maneno. Wanachosikia ni mabomu, only bombs, hayo watayasikia na kuyajibu.

Idd Amin alipuuza maneno ya Nyerere several times, lakini mabomu aliyasikia sana na yakamtoa Uganda. Apply the same to stupis African dictators
 
Mdogo wangu ambaye ni CDM sana - yaani wa damu tangia akiwa chuoni amekuwa na kinyongo sana kuhusu mimi kuwa kimya katika mijadala ya kisiasa katika kundi letu la Familia la WhatsApp. Nimekuwa ninashindwa kutetea vitendo vya Serikali hii karibia vyote kuanzia kuanda bei za mafuta, kodi za miamala, kutopanda mishahara, kunyanyasa upinzania n.k. Alipoingia SSH mwelekeo ulikuwa mzuri lakini ndani ya miezi miwili au mitatu baada ya kufikisha siku mia za uongozi wake tayari Rais wangu SSH amekuwa kama JPM ndani ya ngozi yake. Yaani ni ubabe ubabe tu umefulululiza tangu siku ametamka kuwa "choko choko" ziachwe.

Yaani Serikali ya Rais SSH imekatisha tamaa sana watu na tayari imeanzisha chuki dhidi yake na wananchi. Hata wanaCCM wenyewe kwa sasa hatupendezwi na manyanyaso yasiyo na mshiko dhidi ya upinzani. Acheni kujenga chuki - wapinzani ni ndugu zetu - hawapingi u-utu wetu wanapinga namna tunvyoongoza! Kwa ni kuwanyanyasa hivyo!

Rais wangu SSH kama unaendelea kuwatumia washauri wa mambo ya kisiasa waliokuwa wa JPM - ujue unazidisha chuki dhidi yako na wananchi wote.

Hao wasadizi walifuata sera za Mwendazake kwa sababu ya kujipendekeza. Mwendazake sik zote alihubiri kufa kufa tu akijua siku zake za kuishi ni chache na ndiyo maana hakuwa na hofu ya kuwatendea wengine kwa ukatili- rejea kupotezwa kwa Ben Saa Nane. Hiyo ni tofauti na wewe!

Hatutarajii katika uongozi wako kuna mtu atapotezwa au atapigwa risasi. Wewe ni mama - onesha utofauti pls. - MBOWE SIO GAIDI, MBOWE SIO GAIDI, MBOWE SIO GAIDI, MBOWE SIO GAIDI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…