Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mtu smart asingeweza fanya kazi na mzee yule.
Thus wapo waliojuzuru baada ya jamaa kushika usukani.
 
Kwa Chadema hakuna wa kumchallenge mwamba Mbowe kukalia kiti kwa zaidi ya robo karne sasa.
They cant challenge, thus they are incompetent!
What you say about other it applies equally to you.
Let us reserve our words.
Hili ni kweli. Na pengine tunaweza sema kuwa wale walioonyesha kuwa competent walionyeshwa cha mtema kuni.
 
Actualy wengi wao walikuwa wanatembelea nyota ya marehem. Ila kiukweli wenyewe hawawezi. Na huu ni mwanzo tu
 
Dijaelewa kwanini ndani ya kipindi cha miezi 6 katoa billion 6oo kununua ndege badala ya kusubiri kwanza hizi 11 zifanyekazi iliyokusudiwa
 
Ndege zikinunuliwa zinawauma nini kama nyie sio maajenti wa kenya airways au rwandair. Hamuwezi fikiri mbona nchi zingine ziwe na mashirika yao ila nyie mnapiga bango tz tusiwe na ndege. Pumbafu zenu. Huyo anayewalipa alie tu.
Kodi zetu zinatuuma.Bora kuboresha kilimo kuliko ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…