Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Umenifanya kwenda kufanya verification kwanza maana...! mama ni full of suprises! unaweza shangaaa joto la jiwe deputy minister! Ila nadhani kama akiteuliwa atapewa u-deputy kwanza [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu alipowaumba uliwapa jukumu la kuwa wasaidizi,sasa Wanadamu kujiona mna akili kumzidi Mungu mnawapa jukumu la kuwaongoza.
Kwa kweli tumekiuka.... Mungu atusamehe....

Huwa nawakubali wamarekani tangu waanzishe taifa lao, na leo wakiwa na rais wa 46.... Hawajawahi kuongozwa na ke......
 
Hii nchi ngumu sana leo machinga ni watu wachafu wakati mlichukua bilioni 50 na ushee zao leo mnawavunjia vibanda vyao vijana walio jiajiri ili kupunguza makali ya maisha leo hii mnawakimbiza kisa nyinyi mnamagari ya bure na mishahara na marupu rupu kibao .Leo nimepita sehem kuna jamaa akaniambia kama marehem angekua anafufuka wamgeenda kumfufua mpendwa wao Jembe wamlilie maana sijui hata kesho yao ikoje
 
Hapa nazungumzia PM na VP ambaye amekuwa Rais. Kwenye siasa akili ni kuchagua wasaidizi wa karibu ambao ni Loyal(wafuasi wazuri) na si wenye weledi (competent). Lengo ni kupata watu utaoweza kuwaelekeza mambo na wakafuata.

Na mara nyingi watu competent huwa siyo wafuasi wazuri. Watu wanaoweza kufikiri wenyewe huwa siyo wafuasi wazuri. Hivyo basi, viongozi wakubwa, hasa wale wanaoongoza kibabe huwa na na wasaidizi dhaifu ila loyal sana.

Kwa mantiki hii, Rais Magufuli kama Rais katuachia uongozi mbovu. Na hata CCM alikokuwa mwenyekiti, pale juu aliacha uongozi dhaifu automatically.
 
Unamaanisha hata Mama Samia ni mbovu???? Maana utumie akili unaposhambulia mizizi bila kujua matawi nayo lazima yatakauka na kuanguka. Propaganda zenu tunazijua kwa sasa. Mnatengeneza sinema ili ikifika 2025 mseme Mama Samia pia hafai kuwa mgombea wetu wa CCM kwa sababu aliteuliwa na Dkt Magufuli. Naamini Mama Samia na wasaidizi wake watawaona watu kama wewe na wengine wawaombe kuacha chokochoko za kumfanya Mama asipite 2025 kama mgombea wa urais 2025 wa CCM.
 
Kwa Chadema hakuna wa kumchallenge mwamba Mbowe kukalia kiti kwa zaidi ya robo karne sasa.
They cant challenge, thus they are incompetent!
What you say about other it applies equally to you.
Let us reserve our words.
 
Hapa nazungumzia PM na VP ambaye amekuwa Rais. Kwenye siasa akili ni kuchagua wasaidizi wa karibu ambao ni Loyal(wafuasi wazuri) na si wenye weledi (competent). Lengo ni kupata watu utaoweza kuwaelekeza mambo na wakafuata.

Na mara nyingi watu competent huwa siyo wafuasi wazuri. Watu wanaoweza kufikiri wenyewe huwa siyo wafuasi wazuri. Hivyo basi, viongozi wakubwa, hasa wale wanaoongoza kibabe huwa na na wasaidizi dhaifu ila loyal sana.

Kwa mantiki hii, Rais Magufuli kama Rais katuachia uongozi mbovu. Na hata CCM alikokuwa mwenyekiti, pale juu aliacha uongozi dhaifu automatically.
Yeye ndio alikuwa futuhi mkuu ,kufoka hovyo,kudhalilisha watu na kupenda sifa za kijinga ndicho aliweza sio kuonyesha uongozi
 
Yeye ndio alikuwa futuhi mkuu ,kufoka hovyo,kudhalilisha watu na kupenda sifa za kijinga ndicho aliweza sio kuonyesha uongozi
Vyovyote alivyokuwa lakini sayansi ya siasa inasema kuwa viongozi, hasa viongozi kama Magu huchagua wasaidizi dhaifu.
 
sasa ana uzuri gani,si ni kama hatuna rais tu
Wewe utakuwa na matatizo. Mama Samia kama aliaminiwa na Dkt Magufuli basi ujue ni mzuri si kwa urembo wake wa sura nzuri kabisa bali hekima na busara za kuongoza nchi. Mama ni Mzalendo kweli kweli. Tumuunge mkono OKW BOBAN SUNZU. Achana na propaganda za akina Makamba za kusema wateule wa Dkt Magufuli hawafai.
 
Basi tukiwa tunawataja wanasiasa wabovu ambao hawatakiwi kua rais, VP, PM n.k tutaje na watu ambao wanafaa kua mbadala wao.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom