Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Dreamliner moja iliyopaki ni sawa na matreka elf 10 mapya na vifaa vyake tena kwa cash, Kama ni kwa mkopo unapata trekta elf 50 za horse power 75.Trekta moja ulima heka 25 kwa siku kwa speed ya kivivu. Trekta moja utoa ajira kwa vijana 100.
So badala ya dreamliner moja iliyopaki kutoa ajira kwa watu 30 zingekuwa ni trekta zingetoa ajira milioni 5 za moja kwa moja achilia wategemezi wao.Ajira zote zilizonunulia ndege zingenunua trekta laki moja ambazo zingetoa ajira milioni 12 nchi nzima.Ndege ugusa wachache,kilimo ugusa wote.Kama Malaysia waliwekeza kwenye michikichi tu ndo wanailisha dunia mafuta ya kula na bado awajalijaza soko. Soko la mazao ya kilimo duniani ni kubwa hata KILA mtu alime tza hatutoweza kulijaza.Hela zilizotupwa kwenye ndege tilioni moja tungepata matreka laki 2 yangeajiri vijana milioni 12 zingemaliza tatizo la ajira nchini kwa kuwekeza kwenye kilimo mkakati na zingesharudi ndani ya miaka 3 tungepata pesa tosha za kigeni kukamilisha miradi yote bila kutegemea kukopa.Kupitia kilimo tu tungekuwa uchumi wa kati.Kama wakoloni wao waliweza maliza tatizo la ajira nchini why tunashindwa?Tangu Uhuru bado atujapata kiongozi sahihi mwenye uchungu anaeguswa na ugumu wa maisha ya watz,zaidi ya kuyafanya maisha yazidi kuwa magumu.Kwann watumishi wasipewe misamaha ya Kodi Ili wajinunulie magari binafsi kuliko kuwa na utitiri wa magari ya serikali ambayo hayazalishi,hayana faida ni hasara kwa mlipa Kodi V8 moja tu ni sawa na matrekta 10 mapya na jembe zake hapo ni sawa na ajira elf 1.
Tuendelee tu kuwalaumu mabeberu juu ya kushindwa kwetu aliyetupa Mali alitunyima akili. Chagua ccm chagua maendeleo chagua mitano tena ikiisha mitano tena jiandae kwa kumi tena.
 
Dijaelewa kwanini ndani ya kipindi cha miezi 6 katoa billion 6oo kununua ndege badala ya kusubiri kwanza hizi 11 zifanyekazi iliyokusudiwa
Hizo bn 600 si angejenga mifereji ya umwagaliaji na kununua vifaa vya kilimo kuliko kununua ndege kisha zipark
 
Nauli kubwa ndege inaondoka nusu siti why isiwe nusu Ili siti zote zijae
 
Mtu mweusi hana uwezo wa kuongoza Jamii ikastawi.Unanua ndege cash unaomba msaada wa kujengewa vyoo vya shule.Akili matope.
Ndege hazizalishi
hata india wana matatizo chronic ya vyoo dunia nzima inajua lakin hio haiizuii kujikita kweny miradi ya maendeleo, hakuna nchi iliotatua changamoto zote za kijamii zikaisha then wakaamia kwe mirad mingin ya maendeleo,
 
hata india wana matatizo chronic ya vyoo dunia nzima inajua lakin hio haiizuii kujikita kweny miradi ya maendeleo, hakuna nchi iliotatua changamoto zote za kijamii zikaisha then wakaamia kwe mirad mingin ya maendeleo,
Ni aibu sana kuacha vyenye tija na kushughulika visivyo tija
 
Ukitaka kupendwa na Watanzania kwa sasa. Pigania maslahi yao. Wanajipongeza kukusanya kodi kubwa bila kupigania disposable income ya watu kuongezeka.
 
alafu vifaa hivyo avigawe Bure au vp
Vinajilipa kupitia export ya mazao.
Vijana wakipata nyenzo na miundombinu wezeshi kama walivyokuwa wakifanya wakoloni yaani ushindwe wewe KILA kitu kipo mfano miundombinu ya umwagaliaji, mifereji,magodown, mashine, garage, matrekta, maduka ya kilimo,vyama vya ushirika na sapoti zote zinakuwepo eneo moja vijana wanazalisha kisha Wana export kupitia export serikali inajilipa.
Nje masoko ni makubwa hatuna uwezo wa kuyajaza mfano china pekee wanataka parachichi, mapapai,mchele, pilipili,matunda,nk.achilia nchi zingine ambazo hazizalishi chakula sababu ya mazingira.
Mfano mto ruvu kuanzia juu hadi chini unapita mashambani.
Ni aibu sana kwa mito yetu kumwaga maji bahari yapotee maji ya mito yafaa yaishie mashambani na sio baharini.
 
Ndege zinunuliwe zisinunuliwe wala hutaona impact yake kama hutajitambua.
Nakuelewa Sana. Nimejofunza kutolalamikia kitu ambacho I have no control with. I just watch and implement things that are in my control.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…