All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,569
Kama yako vile ??!!!!Akili ya mtu mweusi ni mzigo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yako vile ??!!!!Akili ya mtu mweusi ni mzigo.
Kununua kitu ambacho tayari kinazalisha hasara sio impact.Ndege zinunuliwe zisinunuliwe wala hutaona impact yake kama hutajitambua.
Hizo bn 600 si angejenga mifereji ya umwagaliaji na kununua vifaa vya kilimo kuliko kununua ndege kisha ziparkDijaelewa kwanini ndani ya kipindi cha miezi 6 katoa billion 6oo kununua ndege badala ya kusubiri kwanza hizi 11 zifanyekazi iliyokusudiwa
hata india wana matatizo chronic ya vyoo dunia nzima inajua lakin hio haiizuii kujikita kweny miradi ya maendeleo, hakuna nchi iliotatua changamoto zote za kijamii zikaisha then wakaamia kwe mirad mingin ya maendeleo,Mtu mweusi hana uwezo wa kuongoza Jamii ikastawi.Unanua ndege cash unaomba msaada wa kujengewa vyoo vya shule.Akili matope.
Ndege hazizalishi
Ni aibu sana kuacha vyenye tija na kushughulika visivyo tijahata india wana matatizo chronic ya vyoo dunia nzima inajua lakin hio haiizuii kujikita kweny miradi ya maendeleo, hakuna nchi iliotatua changamoto zote za kijamii zikaisha then wakaamia kwe mirad mingin ya maendeleo,
alafu vifaa hivyo avigawe Bure au vpHizo bn 600 si angejenga mifereji ya umwagaliaji na kununua vifaa vya kilimo kuliko kununua ndege kisha zipark
Ule ushamba wa madege kutamia bado unaendelezwa!
Vinajilipa kupitia export ya mazao.alafu vifaa hivyo avigawe Bure au vp
Rais Samia ni mwana CCM,na huko CCM hakunaga watu wenye akili,pamejaa wajinga na wapumbavu tupu,umesahau Tozo? Umesahau Sukari na mafuta ya kupikia kupanda Bei? Umesahau Tsh kushuka Thamani na Uchumi kufa? Umesahau Mbowe kupewa kesi ya ugaidi kwa sababu ya kudai katiba mpya?
Huna akili kabisa wewe,huna Tofauti na kuku weweNdege zinunuliwe zisinunuliwe wala hutaona impact yake kama hutajitambua.
Wale wanaoenda kuzitua pale mtaa wa kijani, sii bure wanaziouna mzigo , wanaamua wautue mzigo wenyewe😂😂.Akili ya mtu mweusi ni mzigo.
Mwanakijani Tena mwalimu wa wenzake huyo.Huna akili kabisa wewe,huna Tofauti na kuku wewe
Kiazi mbatata👇😁😁😁
View attachment 1970264
Shida ni kwamba ndege zinanunuliwa na zinakuja zinaegeshwatu pale JNIA. Ndege zinatakiwa kuwa angani na sio kuegeshwa ardhini!Ni aibu sana kuacha vyenye tija na kushughulika visivyo tija
Wananunua bila plan lengo ni kutakatishia kodi zetuShida ni kwamba ndege zinanunuliwa na zinakuja zinaegeshwatu pale JNIA. Ndege zinatakiwa kuwa angani na sio kuegeshwa ardhini!
Ni mradi wa upigaji hawezi kuuacha
Nakuelewa Sana. Nimejofunza kutolalamikia kitu ambacho I have no control with. I just watch and implement things that are in my control.Ndege zinunuliwe zisinunuliwe wala hutaona impact yake kama hutajitambua.