technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
change is the only law which is permanent and that law will never change.Marais upatwa na Nini wanapoingia Ikulu?
Uwa najiuliza hili swali nashindwa kuelewa.
Hivi Samia aliyeenda Nairobi kumuona Lissu amepigwa risasi ndio huyu wa sasa ninayemuona?
Bado najiuliza madaraka Yana Nini kuwafanya watu wabadilike na kuwa Kama wanyama.
Samia Leo ndio wa kutaka kumfunga Mbowe kuhuni ? Na watu wake kumtishia Lissu asirudi nyumbani kisa madaraka.
Hakika natafakari sipati jibu Ikulu uwa zina Nini!!
Lakini nawaambia Malipo ni hapahapa duniani mtalipa kila kitu before mfe.
Tuendelee kuwepo muda utaongea.
Marais upatwa na Nini wanapoingia Ikulu?

Hakuna anayetaka upendeleo!Urais siyo ujumbe wa nyumba kumi
Ni nafasi kubwa na ya juu kwenye nchi husika
Hivyo usitegemee huruma au upendeleo kirahisi tu
Basi muache Rais afanye kazi yakeHakuna anayetaka upendeleo!
Hasa ukiwa na jukumu la kulinda masilahi ya chama kuliko ya nchiUrais siyo ujumbe wa nyumba kumi
Ni nafasi kubwa na ya juu kwenye nchi husika
Hivyo usitegemee huruma au upendeleo kirahisi tu
Jibu hiloHasa ukiwa na jukumu la kulinda masilahi ya chama kuliko ya nchi
Sidhani kama alienda kwa ajili ya kumtaka hali Lissu. Kulikuwa na shughuli nyingine Nairobi ambapo alikuwa anamwakilisha Mheshimiwa Marehemu Rais. Ilibidi aende kumtazama kwa sababu wenyeji wake wasingemuelewa.Marais upatwa na Nini wanapoingia Ikulu?
Uwa najiuliza hili swali nashindwa kuelewa.
Hivi Samia aliyeenda Nairobi kumuona Lissu amepigwa risasi ndio huyu wa sasa ninayemuona?
Bado najiuliza madaraka Yana Nini kuwafanya watu wabadilike na kuwa Kama wanyama.
Samia Leo ndio wa kutaka kumfunga Mbowe kuhuni ? Na watu wake kumtishia Lissu asirudi nyumbani kisa madaraka.
Hakika natafakari sipati jibu Ikulu uwa zina Nini!!
Lakini nawaambia Malipo ni hapahapa duniani mtalipa kila kitu before mfe.
Tuendelee kuwepo muda utaongea.
Muosha huoshwa.Ngoja tusubiri utabiri wa lema tutajua nani anamfuata jiwe