technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Marais upatwa na Nini wanapoingia Ikulu?
Uwa najiuliza hili swali nashindwa kuelewa.
Hivi Samia aliyeenda Nairobi kumuona Lissu amepigwa risasi ndio huyu wa sasa ninayemuona?
Bado najiuliza madaraka Yana Nini kuwafanya watu wabadilike na kuwa Kama wanyama.
Samia Leo ndio wa kutaka kumfunga Mbowe kuhuni ? Na watu wake kumtishia Lissu asirudi nyumbani kisa madaraka.
Hakika natafakari sipati jibu Ikulu uwa zina Nini!!
Lakini nawaambia Malipo ni hapahapa duniani mtalipa kila kitu before mfe.
Tuendelee kuwepo muda utaongea.