Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Wakuu salaam,

Mwanzoni mwa utawala wa rais samia nilimkubali sana, na niliamini ataliponya taifa, bt mambo yafuatayo yalipodhiri nilianza kumpuuza rais samia

1. kumbambikia mbowe kesi ya ugaidi ajili ya kudai katiba mpya.

2. kupanda ghafla kwa bidhaa alafu kakaa kimya bila kutoa tamko lolote.

3. kuminya demokrasia kama mtangulizi wake.

4. kujidhihirisha yupo team mafisi waloifisadi nchi na kuitia hasara kubwa.

je, kwako wewe ni yapi yalokufanya umpuuze rais samia?
 
Umempuuza wewe peke yako,...hata kama ukimpuuza humpunguzii chochote.
 
Wakuu salaam,

Mwanzoni mwa utawala wa rais samia nilimkubali sana, na niliamini ataliponya taifa, bt mambo yafuatayo yalipodhiri nilianza kumpuuza rais samia

1. kumbambikia mbowe kesi ya ugaidi ajili ya kudai katiba mpya.

2. kupanda ghafla kwa bidhaa alafu kakaa kimya bila kutoa tamko lolote.

3. kuminya demokrasia kama mtangulizi wake.

4. kujidhihirisha yupo team mafisi waloifisadi nchi na kuitia hasara kubwa.

je, kwako wewe ni yapi yalokufanya umpuuze rais samia?
Kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidi
 
Sisi wananchi [emoji817]%tunamuunga mkono,na tuko naye.Bidhaa nyingi ziko bei rahisi,ni jana tu nimepita wilaya fulani,wauzaji wa bidhaa za sokoni,wanafurahi kuwa na Rais Samia,jinsi wanavyofanyabiashara na kupata pesa.Ni mtu mvivu,asiyetaka kufanyakazi ndio,analalamika,kuwa bidhaa zimepanda,anasubiri aletewe hela mkononi.
 
(Sisi wananchi) wewe na nani? Hebu jisemee mwenyewe tafadhali. UVCCM wewe!
 
2948593_20211001_101817.jpg
 
Back
Top Bottom