Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Kila mtu anafuraha,ajira,biashara,kazi za ujenzi,ukulima.Leo ukiwa na biashara yoyote hulali njaa.Wapo wanaouza bidhaa za madukani,bidhaa za kilimo,wote wanapata pesa.Ni mvivu wa kazi tu,ndio anayelalamika.