Mkuu technically Samia unayemuona ni yuleyule aliyekwenda kumuona Tundu Lissu Nairobi mwaka 2017. Ni muungwana, mpole, mcha Mungu na anapenda utawala wa sheria. Amejutanabaisha kuwa hapendi hata kodi ya TRA ya dhuluma.Marais upatwa na Nini wanapoingia Ikulu?
Uwa najiuliza hili swali nashindwa kuelewa.
Hivi Samia aliyeenda Nairobi kumuona Lissu amepigwa risasi ndio huyu wa sasa ninayemuona?
Bado najiuliza madaraka Yana Nini kuwafanya watu wabadilike na kuwa Kama wanyama.
Samia Leo ndio wa kutaka kumfunga Mbowe kuhuni ? Na watu wake kumtishia Lissu asirudi nyumbani kisa madaraka.
Hakika natafakari sipati jibu Ikulu uwa zina Nini!!
Lakini nawaambia Malipo ni hapahapa duniani mtalipa kila kitu before mfe.
Tuendelee kuwepo muda utaongea.
Ulishaambiwa na Wahenga kwamba Wapambe ni NukusiMarais upatwa na Nini wanapoingia Ikulu?
Uwa najiuliza hili swali nashindwa kuelewa.
Hivi Samia aliyeenda Nairobi kumuona Lissu amepigwa risasi ndio huyu wa sasa ninayemuona?
Bado najiuliza madaraka Yana Nini kuwafanya watu wabadilike na kuwa Kama wanyama.
Samia Leo ndio wa kutaka kumfunga Mbowe kuhuni ? Na watu wake kumtishia Lissu asirudi nyumbani kisa madaraka.
Hakika natafakari sipati jibu Ikulu uwa zina Nini!!
Lakini nawaambia Malipo ni hapahapa duniani mtalipa kila kitu before mfe.
Tuendelee kuwepo muda utaongea.
Hahaaaaaa!!Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Madame Samia Suluhu Hassan
Mtemi Wa Watemi Chifu Hangaya
Anaupiga Mwingi Sana
Bibi bado anapambania jinsia kwanza
Licha ya ukorofi wa magufuri..lakini namkumbuka kwa kujiamini na kutuaminisha"mimi ni mama"
"mimi ni mwanamke"
"mimi ni bibi"
"mimi ni dada"
"mimi ni shangazi"
"mimi ni raisi mwanamke"
Mh: bwege ni wa mkoa wa Lindi wilaya ya Kilwa. ( mivinjeni ).Kama ni rangi ya Muangaza basi muangaza wa Raisi Samia ni wa rangi nyeusi,Black light hatuoni mbele wala hajatupa matumaini,zaidi tuna matumaini ya teuzi na kubadilisha wachezaji .
Atokee mpinga maendeleo yeyote wa CCM atueleze kuwa kabla ya mwaka wa uchaguzi 2025, jambo gani atakuwa amelifanya na kuonekana kuwa limetimia ? Nini amekamilisha aliyoyaacha Mh.Magufuli ?
Hata wasaidizi wa mikakati na agenda za CCM nao wamevurugika nini wakifanye ,hawana !! Kinachoonekana ni uzinguaji ,bungeni kule ndio kumezidi miujiza watu wanatia siku,kinachojadiliwa na kuamuliwa hakionekani hata wanachokiamua hurudi wakakijutia,tuseme wamebabaika ,wapo wapo tu ,mtu aseme hapa atokee CCM atueleze wameleta faida hii,wamepinga hili kwani halina faida na Taifa.
Nafikiri Tanzania haijawahi kupata bunge lililopotea njia kama hili lililopo,are they history maker?
Sasa bunge limekuwa kama sanaa au usanii tena wa uchekeshaji maana unaweza vunja mbavu ukibahatika kuliangalia kwenye runinga.
Amekosekana yule wa Mtwara, Mh.Bwege angalau akichekesha kimantiki na akifahamika.Ila hawa wa sasa unaweza kuvunja tv.
CCM mnaipeleka wapi Nchi hii?