mkuu jikite kwenye mada tujadili hoja.wewe ni chadema gang hatuna hoja
upo sahihi, na amedhihirisha kwa vitendo.Kwa kifupi huyu ni kiongozi mbovu sn na katili
Naunga mkono hoja. Tena ni nyoka kwenye gamba la kobe.Kwa kifupi huyu ni kiongozi mbovu sn na katili
Umempuuza wewe peke yako,...hata kama ukimpuuza humpunguzii chochote.Wakuu salaam,
Mwanzoni mwa utawala wa rais samia nilimkubali sana, na niliamini ataliponya taifa, bt mambo yafuatayo yalipodhiri nilianza kumpuuza rais samia
1. kumbambikia mbowe kesi ya ugaidi ajili ya kudai katiba mpya.
2. kupanda ghafla kwa bidhaa alafu kakaa kimya bila kutoa tamko lolote.
3. kuminya demokrasia kama mtangulizi wake.
4. kujidhihirisha yupo team mafisi waloifisadi nchi na kuitia hasara kubwa.
je, kwako wewe ni yapi yalokufanya umpuuze rais samia?
Kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidiWakuu salaam,
Mwanzoni mwa utawala wa rais samia nilimkubali sana, na niliamini ataliponya taifa, bt mambo yafuatayo yalipodhiri nilianza kumpuuza rais samia
1. kumbambikia mbowe kesi ya ugaidi ajili ya kudai katiba mpya.
2. kupanda ghafla kwa bidhaa alafu kakaa kimya bila kutoa tamko lolote.
3. kuminya demokrasia kama mtangulizi wake.
4. kujidhihirisha yupo team mafisi waloifisadi nchi na kuitia hasara kubwa.
je, kwako wewe ni yapi yalokufanya umpuuze rais samia?
Wewe ni taahira la CCMwewe ni chadema gang hatuna hoja
Sisi wananchi [emoji817]%tunamuunga mkono,na tuko naye.Bidhaa nyingi ziko bei rahisi,ni jana tu nimepita wilaya fulani,wauzaji wa bidhaa za sokoni,wanafurahi kuwa na Rais Samia,jinsi wanavyofanyabiashara na kupata pesa.Ni mtu mvivu,asiyetaka kufanyakazi ndio,analalamika,kuwa bidhaa zimepanda,anasubiri aletewe hela mkononi.Wakuu salaam,
Mwanzoni mwa utawala wa rais samia nilimkubali sana, na niliamini ataliponya taifa, bt mambo yafuatayo yalipodhiri nilianza kumpuuza rais samia
1. kumbambikia mbowe kesi ya ugaidi ajili ya kudai katiba mpya.
2. kupanda ghafla kwa bidhaa alafu kakaa kimya bila kutoa tamko lolote.
3. kuminya demokrasia kama mtangulizi wake.
4. kujidhihirisha yupo team mafisi waloifisadi nchi na kuitia hasara kubwa.
je, kwako wewe ni yapi yalokufanya umpuuze rais samia?
(Sisi wananchi) wewe na nani? Hebu jisemee mwenyewe tafadhali. UVCCM wewe!Sisi wananchi [emoji817]%tunamuunga mkono,na tuko naye.Bidhaa nyingi ziko bei rahisi,ni jana tu nimepita wilaya fulani,wauzaji wa bidhaa za sokoni,wanafurahi kuwa na Rais Samia,jinsi wanavyofanyabiashara na kupata pesa.Ni mtu mvivu,asiyetaka kufanyakazi ndio,analalamika,kuwa bidhaa zimepanda,anasubiri aletewe hela mkononi.
Sisi wananchi,asiyemwananchi,mvivu asiyetaka kazi,asiyejishulisha kufanya kazi halali,ndio anayelalamika.(Sisi wananchi) wewe na nani? Hebu jisemee mwenyewe tafadhali. UVCCM wewe!