Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
mkuu rais samia alipochukua hatam 99% ya watanzania walimkubali sana bt kwa sasa karibu 75% wamempuuzaUmempuuza wewe peke yako,...hata kama ukimpuuza humpunguzii chochote.
MAMBO MENGINE SIO RAIS NI NDALICHAKO NA UMMY MWALIMU.Walimu wa msingi kusimamia mitihani sekondari na walimu wa sekondari kusimamia msingi. Walimu wa vyuo kusimamia darasa la NNE. Hii ni hatari sana.
Kapoteza mvuto kabisaupo sahihi, na amedhihirisha kwa vitendo.
Amejificha kwenye ushungiNaunga mkono hoja. Tena ni nyoka kwenye gamba la kobe.
4. kujidhihirisha yupo team mafisi waloifisadi nchi na kuitia hasara kubwa.
Kudemka mkuu ndio kulinifanya nikaanza kumpuuzaWakuu salaam,
Mwanzoni mwa utawala wa rais samia nilimkubali sana, na niliamini ataliponya taifa, bt mambo yafuatayo yalipodhiri nilianza kumpuuza rais samia
1. kumbambikia mbowe kesi ya ugaidi ajili ya kudai katiba mpya.
2. kupanda ghafla kwa bidhaa alafu kakaa kimya bila kutoa tamko lolote.
3. kuminya demokrasia kama mtangulizi wake.
4. kujidhihirisha yupo team mafisi waloifisadi nchi na kuitia hasara kubwa.
je, kwako wewe ni yapi yalokufanya umpuuze rais samia?
Magaidi wapo lumumbaMbowe sio Gaidi
Alipokataa umuhimu wa katiba mpya nikajua hana tofauti na Kagame wala M7Wakuu salaam,