Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
kujihudhulu ndo nini na ni lugha gani jamani?PM Majaliwa huu Utawala wa Samia unaenda kukuharibia sifa ya kiuongozi/kisiasa huko mbele ya safari.
Ukweli ni kwamba huna tena uwezo wa kuhoji hata yale yaliyo kinyume na maadili ya kiuongozi yanayofanywa ama yatayofanywa na mawaziri wateule wa Samia hasa wale waliotumbuliwa na JPM na kurejeshwa na Samia.
Brother M gutuka na ikiwezekana resign kwa maana tofauti na hapo unaenda kuchafuka.
Umeeleweka , wasikukatishe tamaa hao wapambe wa MajaliwaMods badala ya neno kujihudhulu na isomeke NINGEJIUZULU
Huyu ni kanda ya ziwaKujihudhuru ndiyo kiswahili gani hicho?
Aki resign atakula wapi? We unawaona vile tu
Naona yatima na wajane bado mnaomboleza poleni sana.PM Majaliwa huu Utawala wa Samia unaenda kukuharibia sifa ya kiuongozi/kisiasa huko mbele ya safari.
Ukweli ni kwamba huna tena uwezo wa kuhoji hata yale yaliyo kinyume na maadili ya kiuongozi yanayofanywa ama yatayofanywa na mawaziri wateule wa Samia hasa wale waliotumbuliwa na JPM na kurejeshwa na Samia.
Brother M gutuka na ikiwezekana resign kwa maana tofauti na hapo unaenda kuchafuka.
Wewe tunakufahamu tokea ufukuzwe na jiwe ualimu wako wa cheti fake ukawa unajifanya mpinzani wa jiwe sasa kupinga/kujipendekeza kwako kwa Utawala huu ni muhimu kwako pengine ukiendelea kudhani utarejeshwa kibaruani huko Nyamalagala S/M.Naona yatima na wajane bado mnaomboleza poleni sana.
Mshauri na Polepole ajiuzuru ule ubunge wa viti maalum ili muendelee kumsengenya mama vizuri.
Na leo tunakwea pipa tunelekea Egypt, nyinyi nendeni mkahiji kwenye kaburi la mungu wenu Chato.
Aresign aende wapi....!!?PM Majaliwa huu Utawala wa Samia unaenda kukuharibia sifa ya kiuongozi/kisiasa huko mbele ya safari.
Ukweli ni kwamba huna tena uwezo wa kuhoji hata yale yaliyo kinyume na maadili ya kiuongozi yanayofanywa ama yatayofanywa na mawaziri wateule wa Samia hasa wale waliotumbuliwa na JPM na kurejeshwa na Samia.
Brother M gutuka na ikiwezekana resign kwa maana tofauti na hapo unaenda kuchafuka.
Wacha weee? Twende tukahiji Chato tukaifufuwe maiti.Wewe tunakufahamu tokea ufukuzwe na jiwe ualimu wako wa cheti fake ukawa unajifanya mpinzani wa jiwe sasa kupinga/kujipendekeza kwako kwa Utawala huu ni muhimu kwako pengine ukiendelea kudhani utarejeshwa kibaruani huko Nyamalagala S/M.
Mambo ni magumu kwako wewe ulizoea mtetemko kwa Magufuli.Mambo yanazidi kuwa magumu taifa linatakiwa liingie kwenye toba ndugu zangu.
Dawa ni kitubu tu. ππππππ
Pale tu siasa onevu zikikoma, Mungu atamimina baraka zake hadi watu washangae.Mambo yanazidi kuwa magumu taifa linatakiwa liingie kwenye toba ndugu zangu.
Dawa ni kitubu tu. ππππππ
Haya sasa, hii nayo ni mada ambayo watu wanatakiwa wachangie!Mambo yanazidi kuwa magumu taifa linatakiwa liingie kwenye toba ndugu zangu.
Dawa ni kitubu tu. ππππππ