Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
kujihudhulu ndo nini na ni lugha gani jamani?PM Majaliwa huu Utawala wa Samia unaenda kukuharibia sifa ya kiuongozi/kisiasa huko mbele ya safari.
Ukweli ni kwamba huna tena uwezo wa kuhoji hata yale yaliyo kinyume na maadili ya kiuongozi yanayofanywa ama yatayofanywa na mawaziri wateule wa Samia hasa wale waliotumbuliwa na JPM na kurejeshwa na Samia.
Brother M gutuka na ikiwezekana resign kwa maana tofauti na hapo unaenda kuchafuka.