Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mama hana jeuri ya kubana mianya,kwake kila kitu ruksa ili tu apate sifa binafsi ndio maana wasaidizi wake wanampinga. Leo hii si ajabu ata ukitaka kiwanja national stadium unaweza kupata[emoji23][emoji23][emoji2089]
Hahaha pls hajafikia huko loh..[emoji23]
 
Akuje kwa media tuone kama ako na hizo guts.......in mkenya's voice.
 
Alipowaletea chanjo mlimpongeza kwa makofi na vigelegele, sasa hivi mnamuona hafai? Ndo maana hawa watu wakimalizaga uongozi wanatulia kimya wanawatazama tu mnavyolia lia. Kikwete alikaa kimya enzi magu kutazama unafiki wa watz
 
Rest In Peace JPM, Kazi iendelee.
 
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile...Jana katika pitapita zangu kwenye kituo cha mafuta nimeona bei imeshapanda lita 2600 petrol..bidhaa nyingi zimepanda bei kuanzia vyakula, sabuni, gas migao ya umeme na maji vifurushi vimeminywa tena hali imekua mbaya sana..hali hii imekuja baada ya Rais wawanyonge kufariki sasa Mabeberu yanatawala yameamua kutuminya Wanyonge ili warudishe pesa zao walizobanwa na Rais wetu wawanyonge.
 
Dada ameshapika chakula tayari njoo dining tule tushibe tuje tena siting room tumkumbke raisi wetu wa wanyonge jpm

RIP 🥺🥺🥺 TZ INAANGAMIA
 
We utakuwa Sukuma Gang, nyie mna chuki za waziwazi na serikali ya mama...

Mama ameifungua nchi na sasa pesa zimejaa mtaani... Acha uchochezi na chokochoko muacheni mama arudishe furaha iliyotoweka.
 
Vyuma kumbe havijawahi kukaza enzi za Magu.

Mswahili kwa UNAFIKI, anastahili 💯💯💯💯
 
Wote wale wale tu hakuna mwenye afadhali na ukitaka kuthibitisha hili rejea kauli ya Hangaya kwamba yeye na mwendazake ni kitu kimoja, leo mafuta petroli lita Tsh 2700 kwingine hadi 3000
 
Huyu bibi ashafeli mapema miezi 8 tu toka awe rais keshaharibu kila kitu

Watu wanaanzaga vizuri huyu miezi 8 mambo yashakua hivi

1.Makato

2.Matozo

3.Kubomolea vibanda machinga bila utaratibu

4.Migao ya umeme

5.Migao ya maji.

6.Ufisadi serikalini


7.Tozo za mafuta.

8.Tozo za mabenk


9.Kodi ya jengo kukatwa kwenya luku


10.Mfumuko wa bei


11.Mafuta kupanda ya petrol na dizeli


12.Mikataba isiyoeleweka.

13.Urasimu kurudi serikalini


14.Vifurushi vya simu kupanda bei


15.Kusimama kwa miradi mikubwa kama nyerere


16.Kufeli na kuanza kutoendelea kwa miradi ya umma.

17.Uzembe serikalini nidhamu ya utendaji imeshuka.

18.Nchi kupoteza mwelekeo.


19.Safari za nje zisizo na tija


20.Matumizi ya mabilioni na mamikopo yasiyokua na tija kwa taifa



Kwa haya Huyu bibi ashafeli, tungekua watz wote tumeelimika na kuelewa haya huyu bibi 2025 tusingempa kura!Imagine ndo miezi 8 tu sasa hivi jee miaka 10 itakuaje?tutaangamia....Yaani huyu bibi na mwendazake hakuna cha maana walilofanya mwendazake aliharibu nchi kwa style yake na huyu nae anakuja na style yake ya kuharibu nchi
 
Laana ya Magufuli itakuandama sana nenda Chato ukatubu fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…