Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Polepole unavyomzonga bi mkubwa mpaka atapaliwa, hembu tulia ufuatilie show kwa utulivu, huenda utaelewa.
 
Samia kapeleka PSSSF 2.2+ trillion..Magufuli alikuwa anajichotea tu huku wastaafu wakifa kwa njaa..

Samia anajaribu kubalance mambo na hili analofanya ni jambo jema..
 
Mbona 2019 tuliambiwa by dec 2019 Watu watatumia sgr Dar to Moro na halikutokea na ilikuwa chini ya Jpm??

Why uone tu kuwa kwa sasa ndo mradi unakwama??
Naona sasa hivi ukwamishaji umezidi naamini tungekuwa na Rais kama Magufuli mradi usingechelewa Sana.
 
Mimi kuna wakati Nahamu ya kuona Tanzania kuwe na upinzani imara wa kuitoa CCM.lakini nikiwaangalia wapinzani wetu naona nakata Tamaa nao.
Wapinzani imara wanapaswa kuwa wananchi ambao ndiyo wenye nchi na wala siyo chama fulani.

Wewe umeshajua kuwa Sukari ipo juu kwa sababu ya ufisadi wa akina Majaliwa,unahitaji chama cha nini tena?
 
Tafuta taarifa kwenye vyanzo sahihi mkuu. Achana na taarifa za vijiwe vya Sukum*gang na vile vya cDm utaacha kuandika taarifa zisizo za kweli. Miradi ya mkakati kama ule wa J.K Nyerere stiegler gorge ulioanzishwa na Hayati John P. Magufuli (Mwenyezi Mungu amrehemu) bado unaendelezwa.

Na mradi wa reli uliosisiwa na JK Kikwete na kuanza kutekelezwa na Hayati JPM kwa kipande Cha Dar es Salaam-Morogoro na kipande Cha Morogoro -Makutopora, na serikali ya awamu ya sita inakamilisha Makutopora-Isaka na Isaka- Mwanza. Kama upo Mwanza nenda Kisesa Kuna kambi ya ujenzi pale imeshasimikwa. Zaidi ameshalipa fedha kununua treni za umeme toka Korea Kusini.

Pia fuatilia bajeti za serikali za utekelezaji wa miradi mbalimbali. Don't be negative.
Watanzania.wamezoea kudanganywa na makamera kila kukicha mkuu....
Hovyo kwelikweli...!
 
Acha uongo hizo Pesa ni mkusanyiko tokea1999 mpaka sasa! Halafu pia ujue mda mingine ni maneno tu sio utekelezaji! Ushawahi kuwasikia wastaafu wa africa Mashariki? Yaani mpaka wamekufa namba kitu!
 
Kama mlikuwa mnafanya ili kusifiwa, mtindo wa
Sasa ni tofauti hakuna kitafuta sita no kifuata utaratibu inaozingatia kanuni, haki na sheria.
Hamna mambo ni yaleyale Tu kama angekuwa anafuata haki Mbowe akingesumbuliwa.bado wapinzani wanakamatwa wakifanya mikutano Yao mfano siku ya Uhuru.
 
Naona sasa hivi ukwamishaji umezidi naamini tungekuwa na Rais kama Magufuli mradi usingechelewa Sana.
Unaona sasa??..

Yaani watu tuambiwe kwamba by dec 2019 mzigo utapiga abiria Dar-Moro na mpaka kifo chake 2021 mambo yakawa bado,wewe hii unaona sio ukwamishaji.

Acha porojo sema tu humpendi Samia na una mahaba na Magufuli.

Na hii kasumba haitalisaidia chochote taifa hili.
 
Wapinzani imara wanapaswa kuwa wananchi ambao ndiyo wenye nchi na wala siyo chama fulani.

Wewe umeshajua kuwa Sukari ipo juu kwa sababu ya ufisadi wa akina Majaliwa,unahitaji chama cha nini tena?
Sasa mifumo ya nchi hii uchaguzi unasimamiwa na serikali yenyewe wananchi hawana hiyo nguvu labda katiba yetu ni mbovu.Nasikia huyuhuyu mama alishawahi kusema tupige Kura tusipige CCM inashinda.
 
Unaona sasa??..

Yaani watu tuambiwe kwamba by dec 2019 mzigo utapiga abiria Dar-Moro na mpaka kifo chake 2021 mambo yakawa bado,wewe hii unaona sio ukwamishaji.

Acha porojo sema tu humpendi Samia na una mahaba na Magufuli.

Na hii kasumba haitalisaidia chochote taifa hili.
Enzi za Magufuli kulikuwa na uhakika wa Mambo kuendelea kuliko SASA hivi kwa Sababu ya ukali wake.sasa hivi tunaambiwa mara sijui kitu Gani hamna wakati enzi za magufuli huwezi kusema Sababu zisizoeleweka.Leo wanatumbia vifaa vinavyotoka nje ya nchi vimeshindwa kuzalishwa na kuleta wewe unataka kunimbia nchi hizo zimesitisha uzalishaji?angalau enzi za magufuli tuliona spidi za kutekeleza vitu.
 
Back
Top Bottom