Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Rais Samia ameshindwa kuendeleza miradi ya kimkakakati kama ujenzi wa reli,bwawa la mwalimu Nyerere.Siku hizi nidhamu makazini zimeshuka watu hawafanyi kazi vizuri kama enzi za Rais Magufuli,Siku hizi umeme unakatika ovyo na ufisadi umerudi tena wanawekana kwenye nyazifa ambazo ni muhimu.Pia ninaongea na watu wengi wa kawaida hawana Imani na Rais huyu.Mimi Kwa maoni yangu huyu Rais hafai kuongoza hii nchi mwisho wake uwe 2025.Kwa maslahi Mazima ya nchi hii tutafute Rais mwingine mwaka 2025 ambaye anauwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo Kwa ustadi mkubwa na kudumisha utawala Bora na demokrasia.huyu Rais ameshaonesha kuwa ni dhaifu, kuwavutia wawekezaji haitoshi iwapo umeshindwa kuwawekea mazingira mazuri Kwa mfano upatikanaji wa nishati ya uhakika,uendelezaji wa reli kama njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.
Inatosha wewe mkuu wangu 🏃🏃
 
Ukigombea tu utatosha au hata kugombea hautoshi?
CCM kuna watu wengi wazuri Naona yeye kama ameshindwa kusimamia mambo mengi mfano miradi tutaanza kudharauliwa na wapinzani wetu kimaendeleo.Enzi za magufuli alituheshimisha kidogo kama nchi mambo yalikuwa yanaonekana kwenda kama hatabadilika naona atakuwa Haifi kuongoza hii nchi.
 
Tafuta taarifa kwenye vyanzo sahihi mkuu. Achana na taarifa za vijiwe vya Sukum*gang na vile vya cDm utaacha kuandika taarifa zisizo za kweli. Miradi ya mkakati kama ule wa J.K Nyerere stiegler gorge ulioanzishwa na Hayati John P. Magufuli (Mwenyezi Mungu amrehemu) bado unaendelezwa.

Na mradi wa reli uliosisiwa na JK Kikwete na kuanza kutekelezwa na Hayati JPM kwa kipande Cha Dar es Salaam-Morogoro na kipande Cha Morogoro -Makutopora, na serikali ya awamu ya sita inakamilisha Makutopora-Isaka na Isaka- Mwanza. Kama upo Mwanza nenda Kisesa Kuna kambi ya ujenzi pale imeshasimikwa. Zaidi ameshalipa fedha kununua treni za umeme toka Korea Kusini.

Pia fuatilia bajeti za serikali za utekelezaji wa miradi mbalimbali. Don't be negative.
 
Ngoja tuone amalize mwaka hadi julqi atakapokamilisha budget yake..Lakini kwa kweli ameshindwa kujigawanya mfano kupqmbanq na upqnadaji bei wa vitu ovyovyo,,magufuti alikataa hili..
Mimi kiu yangu ni kuona mambo yanaenda lakini naona tunakwama Sana nakuwa nawasiwasi sana
 
CCM kuna watu wengi wazuri Naona yeye kama ameshindwa kusimamia mambo mengi mfano miradi tutaanza kudharauliwa na wapinzani wetu kimaendeleo.Enzi za magufuli alituheshimisha kidogo kama nchi mambo yalikuwa yanaonekana kwenda kama hatabadilika naona atakuwa Haifi kuongoza hii nchi.
Kwani unafikiri Hela za kufanya mambo hayo zinaokotwa?
 
Tafuta taarifa kwenye vyanzo sahihi mkuu. Achana na taarifa za vijiwe vya Sukum*gang na vile vya cDm utaacha kuandika taarifa zisizo za kweli. Miradi ya mkakati kama ule wa J.K Nyerere stiegler gorge ulioanzishwa na Hayati John P. Magufuli (Mwenyezi Mungu amrehemu) bado unaendelezwa.

Na mradi wa reli uliosisiwa na JK Kikwete na kuanza kutekelezwa na Hayati JPM kwa kipande Cha Dar es Salaam-Morogoro na kipande Cha Morogoro -Makutopora, na serikali ya awamu ya sita inakamilisha Makutopora-Isaka na Isaka- Mwanza. Kama upo Mwanza nenda Kisesa Kuna kambi ya ujenzi pale imeshasimikwa. Zaidi ameshalipa fedha kununua treni za umeme toka Korea Kusini.
Leo kuna Taarifa kwamba huu mradi wa Reli umekwama mpaka mwakani kila mwaka unakwama ninapata wasiwasi Sana kama mama yetu ataweza kutuvusha.
 
16402654753460.jpg
 
CCM kuna watu wengi wazuri Naona yeye kama ameshindwa kusimamia mambo mengi mfano miradi tutaanza kudharauliwa na wapinzani wetu kimaendeleo.Enzi za magufuli alituheshimisha kidogo kama nchi mambo yalikuwa yanaonekana kwenda kama hatabadilika naona atakuwa Haifi kuongoza hii nchi.
Akina viroboto ndio watu wengi, au mwl yule wa uongozi.
 
Kwani unafikiri Hela za kufanya mambo hayo zinaokotwa?
Ameweka Tozo kila sehemu.sasa hivi naona pia tunapewa misaada Sana Pia kwanini anashindwa kuendeleza miradi mbalimbali huoni atatuaibisha Kwa wapinzani wetu?
 
Hata huyo Rais mnayemtaka hatokuwa kama JPM na CCM hawatoleta huyo mtu na hatotoka kambi tiifu ya Jpm..kwahiyo jiandaeni tu kwa maumivu.
 
Leo kuna Taarifa kwamba huu mradi wa Reli umekwama mpaka mwakani kila mwaka unakwama ninapata wasiwasi Sana kama mama yetu ataweza kutuvusha.
Kipindi cha JPm tuliambiwa by december 2019 mzigo utakuwa unapiga Dar to Moro,lakini hadi kifo chake March 2021 hakuna kilichotokea..ulilalamika pia humu?
 
Ameweka Tozo kila sehemu.sasa hivi naona pia tunapewa misaada Sana Pia kwanini anashindwa kuendeleza miradi mbalimbali huoni atatuaibisha Kwa wapinzani wetu?
Kama mlikuwa mnafanya ili kusifiwa, mtindo wa
Sasa ni tofauti hakuna kutafuta sifa ni kufuata utaratibu inaozingatia kanuni, haki na sheria.
 
Una uhakika miradi hiyo uliyoitaja imesitishwa?

Usiropoke ropoke tu kama kichaa humu jamvini.
Huoni kama miradi inakwama Kwa Mfano tuliambiwa mwezi huu tutaanza kujaribu hizo treni.kule kwenye Bwawa unaambiwa sijui hamna mizani kila sehemu unaona kwamba kuna ukwamaji acha ushabiki fungua Macho Kwa maslahi ya nchi yetu.
 
Mbona 2019 tuliambiwa by dec 2019 Watu watatumia sgr Dar to Moro na halikutokea na ilikuwa chini ya Jpm??

Why uone tu kuwa kwa sasa ndo mradi unakwama??
 
Back
Top Bottom