Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatosha wewe mkuu wangu 🏃🏃Rais Samia ameshindwa kuendeleza miradi ya kimkakakati kama ujenzi wa reli,bwawa la mwalimu Nyerere.Siku hizi nidhamu makazini zimeshuka watu hawafanyi kazi vizuri kama enzi za Rais Magufuli,Siku hizi umeme unakatika ovyo na ufisadi umerudi tena wanawekana kwenye nyazifa ambazo ni muhimu.Pia ninaongea na watu wengi wa kawaida hawana Imani na Rais huyu.Mimi Kwa maoni yangu huyu Rais hafai kuongoza hii nchi mwisho wake uwe 2025.Kwa maslahi Mazima ya nchi hii tutafute Rais mwingine mwaka 2025 ambaye anauwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo Kwa ustadi mkubwa na kudumisha utawala Bora na demokrasia.huyu Rais ameshaonesha kuwa ni dhaifu, kuwavutia wawekezaji haitoshi iwapo umeshindwa kuwawekea mazingira mazuri Kwa mfano upatikanaji wa nishati ya uhakika,uendelezaji wa reli kama njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.
Wewe unaonaje! Jibu liko wazi!!!!!.....Ukigombea tu utatosha au hata kugombea hautoshi?
CCM kuna watu wengi wazuri Naona yeye kama ameshindwa kusimamia mambo mengi mfano miradi tutaanza kudharauliwa na wapinzani wetu kimaendeleo.Enzi za magufuli alituheshimisha kidogo kama nchi mambo yalikuwa yanaonekana kwenda kama hatabadilika naona atakuwa Haifi kuongoza hii nchi.Ukigombea tu utatosha au hata kugombea hautoshi?
Mimi kiu yangu ni kuona miradi ya nchi hii zinakwisha Kwa sababu hizi miradi ni muhimu Kwa maslahi ya nchi yetu lakini Kwa mambo nayoyaona nazidi kukata Tamaa utadharauliwa.Kazi ipo. Ngoja tuone hadi April 2022.
Mimi kiu yangu ni kuona mambo yanaenda lakini naona tunakwama Sana nakuwa nawasiwasi sanaNgoja tuone amalize mwaka hadi julqi atakapokamilisha budget yake..Lakini kwa kweli ameshindwa kujigawanya mfano kupqmbanq na upqnadaji bei wa vitu ovyovyo,,magufuti alikataa hili..
Kwani unafikiri Hela za kufanya mambo hayo zinaokotwa?CCM kuna watu wengi wazuri Naona yeye kama ameshindwa kusimamia mambo mengi mfano miradi tutaanza kudharauliwa na wapinzani wetu kimaendeleo.Enzi za magufuli alituheshimisha kidogo kama nchi mambo yalikuwa yanaonekana kwenda kama hatabadilika naona atakuwa Haifi kuongoza hii nchi.
Leo kuna Taarifa kwamba huu mradi wa Reli umekwama mpaka mwakani kila mwaka unakwama ninapata wasiwasi Sana kama mama yetu ataweza kutuvusha.Tafuta taarifa kwenye vyanzo sahihi mkuu. Achana na taarifa za vijiwe vya Sukum*gang na vile vya cDm utaacha kuandika taarifa zisizo za kweli. Miradi ya mkakati kama ule wa J.K Nyerere stiegler gorge ulioanzishwa na Hayati John P. Magufuli (Mwenyezi Mungu amrehemu) bado unaendelezwa.
Na mradi wa reli uliosisiwa na JK Kikwete na kuanza kutekelezwa na Hayati JPM kwa kipande Cha Dar es Salaam-Morogoro na kipande Cha Morogoro -Makutopora, na serikali ya awamu ya sita inakamilisha Makutopora-Isaka na Isaka- Mwanza. Kama upo Mwanza nenda Kisesa Kuna kambi ya ujenzi pale imeshasimikwa. Zaidi ameshalipa fedha kununua treni za umeme toka Korea Kusini.
Akina viroboto ndio watu wengi, au mwl yule wa uongozi.CCM kuna watu wengi wazuri Naona yeye kama ameshindwa kusimamia mambo mengi mfano miradi tutaanza kudharauliwa na wapinzani wetu kimaendeleo.Enzi za magufuli alituheshimisha kidogo kama nchi mambo yalikuwa yanaonekana kwenda kama hatabadilika naona atakuwa Haifi kuongoza hii nchi.
Ameweka Tozo kila sehemu.sasa hivi naona pia tunapewa misaada Sana Pia kwanini anashindwa kuendeleza miradi mbalimbali huoni atatuaibisha Kwa wapinzani wetu?Kwani unafikiri Hela za kufanya mambo hayo zinaokotwa?
Kipindi cha JPm tuliambiwa by december 2019 mzigo utakuwa unapiga Dar to Moro,lakini hadi kifo chake March 2021 hakuna kilichotokea..ulilalamika pia humu?Leo kuna Taarifa kwamba huu mradi wa Reli umekwama mpaka mwakani kila mwaka unakwama ninapata wasiwasi Sana kama mama yetu ataweza kutuvusha.
Kama mlikuwa mnafanya ili kusifiwa, mtindo waAmeweka Tozo kila sehemu.sasa hivi naona pia tunapewa misaada Sana Pia kwanini anashindwa kuendeleza miradi mbalimbali huoni atatuaibisha Kwa wapinzani wetu?
Huoni kama miradi inakwama Kwa Mfano tuliambiwa mwezi huu tutaanza kujaribu hizo treni.kule kwenye Bwawa unaambiwa sijui hamna mizani kila sehemu unaona kwamba kuna ukwamaji acha ushabiki fungua Macho Kwa maslahi ya nchi yetu.Una uhakika miradi hiyo uliyoitaja imesitishwa?
Usiropoke ropoke tu kama kichaa humu jamvini.
Mbona 2019 tuliambiwa by dec 2019 Watu watatumia sgr Dar to Moro na halikutokea na ilikuwa chini ya Jpm??Huoni kama miradi inakwama Kwa Mfano tuliambiwa mwezi huu tutaanza kujaribu hizo treni.kule kwenye Bwawa unaambiwa sijui hamna mizani kila sehemu unaona kwamba kuna ukwamaji acha ushabiki fungua Macho Kwa maslahi ya nchi yetu.
Mimi kuna wakati Nahamu ya kuona Tanzania kuwe na upinzani imara wa kuitoa CCM.lakini nikiwaangalia wapinzani wetu naona nakata Tamaa nao.