MfufueNaona sasa hivi ukwamishaji umezidi naamini tungekuwa na Rais kama Magufuli mradi usingechelewa Sana.
Hata Hitler bado anasifiwa UjerumaniEnzi za Magufuli kulikuwa na uhakika wa Mambo kuendelea kuliko SASA hivi kwa Sababu ya ukali wake.sasa hivi tunaambiwa mara sijui kitu Gani hamna wakati enzi za magufuli huwezi kusema Sababu zisizoeleweka.Leo wanatumbia vifaa vinavyotoka nje ya nchi vimeshindwa kuzalishwa na kuleta wewe unataka kunimbia nchi hizo zimesitisha uzalishaji?angalau enzi za magufuli tuliona spidi za kutekeleza vitu.
Hujiambui MTU aliyefariki atafufukaje.Atatokea mtu mwingine ambaye anarudisha Imani ya wananchi Kwa serikali Yao Kwa uchapakazi wake.magufuli alikuwa mfano wa kuingwa Kwa Mambo mengi mpaka wakaanzisha msemo Magulification of afrika soon Huyo mama ataondoka Tu.Mfufue
Rais Samia ameshindwa kuendeleza miradi ya kimkakakati kama ujenzi wa reli,bwawa la mwalimu Nyerere.Siku hizi nidhamu makazini zimeshuka watu hawafanyi kazi vizuri kama enzi za Rais Magufuli,Siku hizi umeme unakatika ovyo na ufisadi umerudi tena wanawekana kwenye nyazifa ambazo ni muhimu.Pia ninaongea na watu wengi wa kawaida hawana Imani na Rais huyu.Mimi Kwa maoni yangu huyu Rais hafai kuongoza hii nchi mwisho wake uwe 2025.Kwa maslahi Mazima ya nchi hii tutafute Rais mwingine mwaka 2025 ambaye anauwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo Kwa ustadi mkubwa na kudumisha utawala Bora na demokrasia.huyu Rais ameshaonesha kuwa ni dhaifu, kuwavutia wawekezaji haitoshi iwapo umeshindwa kuwawekea mazingira mazuri Kwa mfano upatikanaji wa nishati ya uhakika,uendelezaji wa reli kama njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.

Mzee mbona unatetea kitu kisicho kuwa na sifa, tumeona mgao wa umeme, mgao wa maji, petroleum bei juu kuliko miaka yote, Tozo kwenye miamala ya simu, mafuta ya kupikia Bei juu, vifaa vya ujenzi Bei juu, Gesi ya kupikia Bei juu, mkate Bei juu kwa kifupi Kuna mfumuko mkubwa wa Bei, pia ufasadi umerudi upya, wale watumishi walikuwa wamefukuzwa kazi kwa tuhuma mbali mbali wamerudishwa serikali.kwa kifupi Rais wa awamu hii hatufai.Unaona sasa??..
Yaani watu tuambiwe kwamba by dec 2019 mzigo utapiga abiria Dar-Moro na mpaka kifo chake 2021 mambo yakawa bado,wewe hii unaona sio ukwamishaji.
Acha porojo sema tu humpendi Samia na una mahaba na Magufuli.
Na hii kasumba haitalisaidia chochote taifa hili.
Una uhakika tukitafuta rais mwingine atapita kwa tume hii?Rais Samia ameshindwa kuendeleza miradi ya kimkakakati kama ujenzi wa reli,bwawa la mwalimu Nyerere.Siku hizi nidhamu makazini zimeshuka watu hawafanyi kazi vizuri kama enzi za Rais Magufuli,Siku hizi umeme unakatika ovyo na ufisadi umerudi tena wanawekana kwenye nyazifa ambazo ni muhimu.Pia ninaongea na watu wengi wa kawaida hawana Imani na Rais huyu.Mimi Kwa maoni yangu huyu Rais hafai kuongoza hii nchi mwisho wake uwe 2025.Kwa maslahi Mazima ya nchi hii tutafute Rais mwingine mwaka 2025 ambaye anauwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo Kwa ustadi mkubwa na kudumisha utawala Bora na demokrasia.huyu Rais ameshaonesha kuwa ni dhaifu, kuwavutia wawekezaji haitoshi iwapo umeshindwa kuwawekea mazingira mazuri Kwa mfano upatikanaji wa nishati ya uhakika,uendelezaji wa reli kama njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.
Mimi naona anafanya vema. Huenda tunaangalia mambo kwa vigezo tofautiMatatizo kama hayo yalikuwepo hata Enzi za kikwete hata nyerere.hakuna MTU mkamilifu ila Naona Magufuli alikuwa mtekelezaji na msimamizi mzuri Naona huyu mama anafeli kidogo.
Wewe unayesema hafai ubongo imejaa upofu hauoni, umejaa uziwi hausikii lkn imejaa ububu hauwezi kusema kwa ufasahaUbongo umejaa kamasi yaani kama unaona huyu anafaa basi tena!
Hatari sana.Mimi kiu yangu ni kuona miradi ya nchi hii zinakwisha Kwa sababu hizi miradi ni muhimu Kwa maslahi ya nchi yetu lakini Kwa mambo nayoyaona nazidi kukata Tamaa utadharauliwa.
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo
UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo
UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Rejea hotuba ya mama Dakika ya 28 sekunde ya 30,Umeipata wapi hii? Au umetoa kichwani?