Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Enzi za Magufuli kulikuwa na uhakika wa Mambo kuendelea kuliko SASA hivi kwa Sababu ya ukali wake.sasa hivi tunaambiwa mara sijui kitu Gani hamna wakati enzi za magufuli huwezi kusema Sababu zisizoeleweka.Leo wanatumbia vifaa vinavyotoka nje ya nchi vimeshindwa kuzalishwa na kuleta wewe unataka kunimbia nchi hizo zimesitisha uzalishaji?angalau enzi za magufuli tuliona spidi za kutekeleza vitu.
Hata Hitler bado anasifiwa Ujerumani
 
Hujiambui MTU aliyefariki atafufukaje.Atatokea mtu mwingine ambaye anarudisha Imani ya wananchi Kwa serikali Yao Kwa uchapakazi wake.magufuli alikuwa mfano wa kuingwa Kwa Mambo mengi mpaka wakaanzisha msemo Magulification of afrika soon Huyo mama ataondoka Tu.
 
Huyu mama anachofanya ni kuendeleza tu udikteta wa Magufuli, kubambikia watu vyesi feki na kuchelewesha katiba mpya.

Hana lolote la maana kwa kweli, toka aukwae urais bidhaa zimekuwa zikipanda bei kila uchao na mfumuko wa bei uko juu ni hakuna mfano.

Tungekuwa na tume ya uchaguzi inayoeleweka huyu 2025 kura zake angezitafuta tu kwa tochi.
 
Hii thread angejuwepo huyo unayemsifia ungekuwa unayea debe saa hizi
 
Rais Samia ameshindwa kuendeleza miradi ya kimkakakati kama ujenzi wa reli,bwawa la mwalimu Nyerere.Siku hizi nidhamu makazini zimeshuka watu hawafanyi kazi vizuri kama enzi za Rais Magufuli,Siku hizi umeme unakatika ovyo na ufisadi umerudi tena wanawekana kwenye nyazifa ambazo ni muhimu.Pia ninaongea na watu wengi wa kawaida hawana Imani na Rais huyu.Mimi Kwa maoni yangu huyu Rais hafai kuongoza hii nchi mwisho wake uwe 2025.Kwa maslahi Mazima ya nchi hii tutafute Rais mwingine mwaka 2025 ambaye anauwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo Kwa ustadi mkubwa na kudumisha utawala Bora na demokrasia.huyu Rais ameshaonesha kuwa ni dhaifu, kuwavutia wawekezaji haitoshi iwapo umeshindwa kuwawekea mazingira mazuri Kwa mfano upatikanaji wa nishati ya uhakika,uendelezaji wa reli kama njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.

DCCFD7C1-45ED-4083-ADFF-87907E139C96.jpeg

D47F5B77-9DB8-4F33-9ED8-68CE95E875BB.jpeg
 
We kama nan unauliza hvyo???
Rais Samia ameshindwa kuendeleza miradi ya kimkakakati kama ujenzi wa reli,bwawa la mwalimu Nyerere.Siku hizi nidhamu makazini zimeshuka watu hawafanyi kazi vizuri kama enzi za Rais Magufuli,Siku hizi umeme unakatika ovyo na ufisadi umerudi tena wanawekana kwenye nyazifa ambazo ni muhimu.Pia ninaongea na watu wengi wa kawaida hawana Imani na Rais huyu.Mimi Kwa maoni yangu huyu Rais hafai kuongoza hii nchi mwisho wake uwe 2025.Kwa maslahi Mazima ya nchi hii tutafute Rais mwingine mwaka 2025 ambaye anauwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo Kwa ustadi mkubwa na kudumisha utawala Bora na demokrasia.huyu Rais ameshaonesha kuwa ni dhaifu, kuwavutia wawekezaji haitoshi iwapo umeshindwa kuwawekea mazingira mazuri Kwa mfano upatikanaji wa nishati ya uhakika,uendelezaji wa reli kama njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.
 
Unaona sasa??..

Yaani watu tuambiwe kwamba by dec 2019 mzigo utapiga abiria Dar-Moro na mpaka kifo chake 2021 mambo yakawa bado,wewe hii unaona sio ukwamishaji.

Acha porojo sema tu humpendi Samia na una mahaba na Magufuli.

Na hii kasumba haitalisaidia chochote taifa hili.
Mzee mbona unatetea kitu kisicho kuwa na sifa, tumeona mgao wa umeme, mgao wa maji, petroleum bei juu kuliko miaka yote, Tozo kwenye miamala ya simu, mafuta ya kupikia Bei juu, vifaa vya ujenzi Bei juu, Gesi ya kupikia Bei juu, mkate Bei juu kwa kifupi Kuna mfumuko mkubwa wa Bei, pia ufasadi umerudi upya, wale watumishi walikuwa wamefukuzwa kazi kwa tuhuma mbali mbali wamerudishwa serikali.kwa kifupi Rais wa awamu hii hatufai.
 
Rais Samia ameshindwa kuendeleza miradi ya kimkakakati kama ujenzi wa reli,bwawa la mwalimu Nyerere.Siku hizi nidhamu makazini zimeshuka watu hawafanyi kazi vizuri kama enzi za Rais Magufuli,Siku hizi umeme unakatika ovyo na ufisadi umerudi tena wanawekana kwenye nyazifa ambazo ni muhimu.Pia ninaongea na watu wengi wa kawaida hawana Imani na Rais huyu.Mimi Kwa maoni yangu huyu Rais hafai kuongoza hii nchi mwisho wake uwe 2025.Kwa maslahi Mazima ya nchi hii tutafute Rais mwingine mwaka 2025 ambaye anauwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo Kwa ustadi mkubwa na kudumisha utawala Bora na demokrasia.huyu Rais ameshaonesha kuwa ni dhaifu, kuwavutia wawekezaji haitoshi iwapo umeshindwa kuwawekea mazingira mazuri Kwa mfano upatikanaji wa nishati ya uhakika,uendelezaji wa reli kama njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.
Una uhakika tukitafuta rais mwingine atapita kwa tume hii?
 
Matatizo kama hayo yalikuwepo hata Enzi za kikwete hata nyerere.hakuna MTU mkamilifu ila Naona Magufuli alikuwa mtekelezaji na msimamizi mzuri Naona huyu mama anafeli kidogo.
Mimi naona anafanya vema. Huenda tunaangalia mambo kwa vigezo tofauti
 
Mimi kiu yangu ni kuona miradi ya nchi hii zinakwisha Kwa sababu hizi miradi ni muhimu Kwa maslahi ya nchi yetu lakini Kwa mambo nayoyaona nazidi kukata Tamaa utadharauliwa.
Hatari sana.

Wazungu wakisema tu! tunawasikiliza kuliko sisi wenyewe.
 
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo

UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"

Kufanya hivyo under the circumstances ni umahili wa hali ya juu kiuchumi. In fact kama anaweza kupata interest free loans zenye long term tenure ashinikizwe achukue ili tulipe madeni ya Kikwete yenye RIBA kubwa na kuiva kwa muda mfupi aliyokopa kutoka private banks za Switzeland! Hiyo itatoa afueni kwa nchi katika kulipa riba ya hiyo mikopo; kama hii mikopo mibovu ikilipwa mapema itakuwa ni nafuu zaidi. Hii in finacial parlance is known as LEVERAGING.
 
Back
Top Bottom