Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Umeipata wapi hii? Au umetoa kichwani?
Si kasema mwenyewe au hukusikiliza kasema kuwa mwigulu alimpgia simu mara 3 usku hapokei, baadae akapokea akamwambia kuwa ana stress coz kuna mkopo umesha mature unahitaji kulipwa. Ikabidi amwambie waonane kesho yake. Akiwa yeye, mwiguru na katibu mkuu ndipo wakakubaliana ela za mkopo usio na riba wa IMF, nusu walipe deni wapunguze stress mpaka mwakani, nusu itumike kwenye maendeleo.
 
Hii ni strategy nzuri sana,mikopo ya Magufuli ya muda mfupi na yenye riba kubwa yanalitesa Taifa hili.
 
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo

UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Hivi ukikopa mihela mingi namna hii si lazma uweke kitu rehani,niliona uganda wameweka uwanja wao wa ndege na wakashindwa kuukomboa,kwetu sisi imekaaje?
 
"mbona hata enzi za magufuli tulikuwa no 1 Kwa democracy afrika mashariki.Naamini magufuli alichukia cheap politics.kuna watu walimtukana Sana.magufuli alipendwa ndani na nje ya Tanzania he was talk of the world."

Kama una mahaba sana na ******** nenda kalale nae huko chato, mzee amejua kutuharibia nchi vibaya
 
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo

UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Acha uongo deni linalipwa kwa asilimia,labda useme pesa mmepeleka zenji , tena mama sasa hivi anaelekea kuwa mmoja wa matajiri wakubwa africa
 
Acha uongo deni linalipwa kwa asilimia,labda useme pesa mmepeleka zenji , tena mama sasa hivi anaelekea kuwa mmoja wa matajiri wakubwa africa
Uzushi kama huu unakusaidia nini wewe? Thibitisha haya madai yako.

Toka mumebinywa kende musharukwa na akili.Magu ndio kaingiza Nchi Chaka na Rais na Waziri wamefafanua.

Samia ana ushawishi kwenye Jumuiya za Kimataifa ndio maana mkopo wake wa pili utatoka Badea til.7,, nao ni consessional utakuwa disbursed over 5 years period
 
Hapa kidogo haujamtendea haki Kikwete maana yeye alikopa mikopo kwa riba ndogo ya 5% hadi 6% tena kwa kuanza kulipa kwa zaidi ya miaka 10.

Ni kweli inawezekana mikopo yake imeanza kuiva lakini ilikuwa nafuu kwa vigezo vyote kuliko mikopo ya Magufuli ambayo riba yake ni 8% hadi 9% kwa kuiva ndani ya miaka 6.

Na ukumbuke tayari tumekwisha anza kulipa deni la Magufuli hata kabla ya mradi uliokopewa kuisha.

Chuki zisitufanye kuandika uongo.
 
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo

UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Hata mimi hii ilinishangaza mkuu na nilidhani ilitakiwa kuwa confidential........mchele ukamwagwa hadharani, suppose wakopeshaji walikupa masharti uzitumie kwenye uviko, mara wakasikia umezitumia kulipa madeni, hapatachimbika hapo?
 
Kweli kabisa wenye uwezo wa kufanya shopping samaki n.k NI wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…