elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Si kasema mwenyewe au hukusikiliza kasema kuwa mwigulu alimpgia simu mara 3 usku hapokei, baadae akapokea akamwambia kuwa ana stress coz kuna mkopo umesha mature unahitaji kulipwa. Ikabidi amwambie waonane kesho yake. Akiwa yeye, mwiguru na katibu mkuu ndipo wakakubaliana ela za mkopo usio na riba wa IMF, nusu walipe deni wapunguze stress mpaka mwakani, nusu itumike kwenye maendeleo.Umeipata wapi hii? Au umetoa kichwani?