Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Umeipata wapi hii? Au umetoa kichwani?
Si kasema mwenyewe au hukusikiliza kasema kuwa mwigulu alimpgia simu mara 3 usku hapokei, baadae akapokea akamwambia kuwa ana stress coz kuna mkopo umesha mature unahitaji kulipwa. Ikabidi amwambie waonane kesho yake. Akiwa yeye, mwiguru na katibu mkuu ndipo wakakubaliana ela za mkopo usio na riba wa IMF, nusu walipe deni wapunguze stress mpaka mwakani, nusu itumike kwenye maendeleo.
 
Hii ni strategy nzuri sana,mikopo ya Magufuli ya muda mfupi na yenye riba kubwa yanalitesa Taifa hili.
 
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo

UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Hivi ukikopa mihela mingi namna hii si lazma uweke kitu rehani,niliona uganda wameweka uwanja wao wa ndege na wakashindwa kuukomboa,kwetu sisi imekaaje?
 
Magufuli hakuwa katili huyu mama ameonesha hatufai akikaa vibaya ataishia 2025.mbona hata enzi za magufuli tulikuwa no 1 Kwa democracy afrika mashariki.Naamini magufuli alichukia cheap politics.kuna watu walimtukana Sana.magufuli alipendwa ndani na nje ya Tanzania he was talk of the world.
"mbona hata enzi za magufuli tulikuwa no 1 Kwa democracy afrika mashariki.Naamini magufuli alichukia cheap politics.kuna watu walimtukana Sana.magufuli alipendwa ndani na nje ya Tanzania he was talk of the world."

Kama una mahaba sana na ******** nenda kalale nae huko chato, mzee amejua kutuharibia nchi vibaya
 
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo

UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Acha uongo deni linalipwa kwa asilimia,labda useme pesa mmepeleka zenji , tena mama sasa hivi anaelekea kuwa mmoja wa matajiri wakubwa africa
 
View attachment 2068971View attachment 2068973View attachment 2068974View attachment 2068976View attachment 2068977View attachment 2068978
Kama Rais na Waziri wa Fedha walivyosema,mikopo mingi ni ya awamu zilizopita,sasa kwa kuwa zilicheleweshwa kutolewa kutokana na Rais aliyekuwepo ndio inakuwa disbursed sasa..

Hapo Mkopo wa Samia ni huo mil.567 wa bila riba hiyo mingine aulizwe Mpango na Katibu mkuu Hazina waliokuwepo kipindi kile.

Screenshot_20220104-212708.png
 
Acha uongo deni linalipwa kwa asilimia,labda useme pesa mmepeleka zenji , tena mama sasa hivi anaelekea kuwa mmoja wa matajiri wakubwa africa
Uzushi kama huu unakusaidia nini wewe? Thibitisha haya madai yako.

Toka mumebinywa kende musharukwa na akili.Magu ndio kaingiza Nchi Chaka na Rais na Waziri wamefafanua.

Samia ana ushawishi kwenye Jumuiya za Kimataifa ndio maana mkopo wake wa pili utatoka Badea til.7,, nao ni consessional utakuwa disbursed over 5 years period
 
Kufanya hivyo under the circumstances ni umahili wa hali ya juu kiuchumi. In fact kama anaweza kupata interest free loans zenye long term tenure ashinikizwe achukue ili tulipe madeni ya Kikwete yenye RIBA kubwa na kuiva kwa muda mfupi aliyokopa kutoka private banks za Switzeland! Hiyo itatoa afueni kwa nchi katika kulipa riba ya hiyo mikopo; kama hii mikopo mibovu ikilipwa mapema itakuwa ni nafuu zaidi. Hii in finacial parlance is known as LEVERAGING.
Hapa kidogo haujamtendea haki Kikwete maana yeye alikopa mikopo kwa riba ndogo ya 5% hadi 6% tena kwa kuanza kulipa kwa zaidi ya miaka 10.

Ni kweli inawezekana mikopo yake imeanza kuiva lakini ilikuwa nafuu kwa vigezo vyote kuliko mikopo ya Magufuli ambayo riba yake ni 8% hadi 9% kwa kuiva ndani ya miaka 6.

Na ukumbuke tayari tumekwisha anza kulipa deni la Magufuli hata kabla ya mradi uliokopewa kuisha.

Chuki zisitufanye kuandika uongo.
 
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo

UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Hata mimi hii ilinishangaza mkuu na nilidhani ilitakiwa kuwa confidential........mchele ukamwagwa hadharani, suppose wakopeshaji walikupa masharti uzitumie kwenye uviko, mara wakasikia umezitumia kulipa madeni, hapatachimbika hapo?
 
Kweli kabisa wenye uwezo wa kufanya shopping samaki n.k NI wachache
 
Back
Top Bottom