... 2020 hakupata ubunge huyu? If yes, jimbo gani au viti maalum kama kawa ya "waliobarikiwa" kula mema ya nchi? Wengine twala laana tu yakhe; jasho twavuja lakini baado laana zatuandama toka vizazi.China moja hiioooo
Utateuliwa kama unafahamika na wakubwa wenye chama....hizo sifa zingine ukitoa hii ni mbwembwe tu.Sometimes huwa najiuliza sana hawa wateuaji kuwa wanatumia njenzo gani kuwapata wateuliwa, naishia kujipa moyo tu kuwa labda kuna taarifa sina
Mchengerwa,. Mohamed Mchengerwa. Mchengerwa Mohamed. Mchengerwa mama pokea kilio chetu watumishi
Ni zigo kweli teh teh teh..Watumishi tunaona una kila sababu ya kutawala milele mpaka useme baaaasi!! Ila sasa mama umetuletea mkosi "vuvuzela" sijui linaitwa Jenista!?? Hilo zigo mama kaa nalo huko hatulitaki huku utumishi, hilo ni jini litatunyonya damu
Mama, Tunakupenda sana ila hilo vuvuzela hapana!!! Tunafikiria uwe Rais angalau miaka 23 endapo marekebisho ya katiba yatafanyika mapema.
Anakuwa waziri kwa mtaji wa katikati. Umalaya umekuwa mtaji.Jenista ni Waziri bogus ever.
Kwa jenista lazima msoga team ihusike. Ukiangalia walioula safari hii ni watu wake. Kuanzia mkata umeme, mtama na sasa huyu mamaSometimes huwa najiuliza sana hawa wateuaji kuwa wanatumia njenzo gani kuwapata wateuliwa, naishia kujipa moyo tu kuwa labda kuna taarifa sina
You are a confused fellowUkiona mtu anapigwa mawe ujue ni mchapa kazi na machawa na makupe wameanza kutaharuki,huyo anaonyesha anawafaa hapo maana ataondoa mauzauza mnayofanya,kazi iendelee huyo anafaa kabisa .
Hamnaga mtu anampendaga yule maza.huyu mama hutoa nini kwa mamlaka za uteuzi,kila awamu yupo na kasauti chake. simpendi kabisa