Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Shida ni liropokaji na hana ubunifu wowote, Nchegerwa alipaweza sana alisikiliza KERO na kuzitatua kwa wakati, hakuwa mtu wa propaganda kama watangulizi wake, wengi wameappreciate ufanyaji kazi wake hasa watumishi kada za chini. Mimi binafsi kwa huyu Jenister hamna kitu mh Samia bring back our Nchegerwa.
 
Kwani waziri huwa anafanya maamuzi kwa matakwa yake au anafuata maelekezo ya boss wake ambaye ni Rais?
 
Ndiyo hivyo hivyo mlimwambia Jiwe atawale mpaka afie madarakani na ikawa kweli. Huyu naye mnataka afie madarakani?
 
Mama umewapatia Hawa watumishu, Kaa huko huko ,Watajua kwanni wanaing'ang'ania CCM
 
KAMA RAIS ANAPENDA KUUNGWA MKONO BASI APENDE KUSIKILIZA WANAO MUUNGA MKONO, UTUMISHI YULE BWANA ALIFAA SANA NA ANA EXPERIENCE NA SHIDA ZA WATUMISHI NA NI MCHAPA KAZI HODARI, MKWELI NDIO WATUMISHI WAMEONA AMEKUWA AHENI KWAO......Sasa huyu mama porojo nyingi, anafanyakazi kwa upepo, alisumbua na kuyumbisha Sana wenzake kwenye ishu nyingi ikiwepo kikokotoo....HUYO MAMA NI MASHAKA YAMERUDI
 
Jenista ni Waziri bogus ever.
Ukweli mchungu huyu mama anajua kila kitu cha kisera kuhusu hii Nchi.Ana Diploma ya Ualimu lakini uwezo wake WA kukariri mambo umemfikisha hapo. Anajua kujikomba Kwa Wakubwa sijui kuhusu namba moja na mbili Ila namba tatu anamkubali Sana. Pale hatoki labda itokee miujiza kama ya Ndugai.
 
Aturudishie mchengerwa wetu.
 
Anawezea kunyoosha kidole na kutoa taarifa tu bungeni.Ngoja aje Peramiho tumlie hela zake.😝😝😝😝😝
Haya ndio nayoyasema, mnatuletea galasa Sasa linatucost taifa Zima. Mnachokula anatoa kwa wadau haimuumi halafu mnakula nini zaidi ya T-shirt na elfi kumi kumi zile?
 
Hapo umevaa zako tuviatu tumeisha visigino, baiskeli haujaziba pancha na una nyumba umeanza kuijenga tangu 2009 haijaisha, ila sasa unavyo piga mapambio ya CCM humu. Hovyoo
 
Jenister anza na mkurugenzi wa utumishi Muhimbili, anasabisha madactari bingwa kuacha kazi.Huyu ni tatizo.
 
Sawa kilio chenu watumishi tumekisikia tutamshauri raisi kulingana na maoni yenu
 
Ukiachana na uvuvuzela wake kinachoshangazaga Sana kwake Ni kule kujichubua kwa Hali ya juu..wakati naanza kumfahamu alikuwa Ni mweusi tii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…