BlackBox
Senior Member
- Nov 26, 2016
- 109
- 78
Shida ni liropokaji na hana ubunifu wowote, Nchegerwa alipaweza sana alisikiliza KERO na kuzitatua kwa wakati, hakuwa mtu wa propaganda kama watangulizi wake, wengi wameappreciate ufanyaji kazi wake hasa watumishi kada za chini. Mimi binafsi kwa huyu Jenister hamna kitu mh Samia bring back our Nchegerwa.