Ahaa kumbe ndio maana naniliu ni naibu waziri wa ardhi ili ahakikishe kuwa hao marafiki zao wanapewa ardhi kwa ajili ya uwekezaji.Chini ya rais mzalendo Magufuli taifa letu lilikuwa limeachana kutegemea hawa watu wanaoitwa wawekezaji, ambao wengi wao huwa ni wanyonyaji wa rasilimali zetu za nchi, tulikuwa tumeachana na kwa wawekezaji uchwara
Tuliwapa nafasi wawekezaji wa ndani wenye asili haswa ya kitanzania kama akina Saninu Laizer na tuliona matokeo yake, pia tlianza kufufua viwanda vilivyokuwa vimebinafishwa na kutelekezwa na kazi ilikuwa inaenda vizuri
Sasa Samia anaenda kuipiga nchi mnada, nasikia kuna wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye umeme, kilimo, ambako watapewa na maeneo.
jamani huyu Rais anaipiga nchi mnada
Content ikojeJina kama la kiume ila content mmmh…
HawatakuelewaHakika mama atakumbukwa kwa speech zake za kutia moyo wa tanzania hasa ile ya juzi ya kupanda kwa bei ya bidhaa aliposema huu ni mwanzo tu na vitu vitapanda juu sana
Binafsi naona mama anazidi kuupiga mwingi sana mwenyezi MUNGU amuongeze miaka mingine 30 zaidi ili nchi yetu iweze kupata inachostahili
Sijawahi ona raisi anajali wanyonge kama mama
Mama anafanya maisha yawe rahisi sana watanzania wenzangu tumpe ushirikiano
Mwisho mafuta ya kula kwetu litre 10 ni shillingi 64k........
Vipi nyie huko kwetu?
[emoji23][emoji23][emoji23] nawaelewa vichwa vya mendeHawatakuelewa
[emoji23][emoji23][emoji23] nawaelewa vichwa vya mende
Nimetumwa na familia ya nan bosiVipi mchagga umetumwa?