Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ngoja tuone maana waswahili wana msemo, lisemwalo ...
 
Nikivuna msimu huu sirudi shamba badala yake ninunue mashamba nipande miti ili nisubiri neema hapo twente sete faivu.
 
Chini ya rais mzalendo Magufuli taifa letu lilikuwa limeachana kutegemea hawa watu wanaoitwa wawekezaji, ambao wengi wao huwa ni wanyonyaji wa rasilimali zetu za nchi, tulikuwa tumeachana na kwa wawekezaji uchwara

Tuliwapa nafasi wawekezaji wa ndani wenye asili haswa ya kitanzania kama akina Saninu Laizer na tuliona matokeo yake, pia tlianza kufufua viwanda vilivyokuwa vimebinafishwa na kutelekezwa na kazi ilikuwa inaenda vizuri

Sasa Samia anaenda kuipiga nchi mnada, nasikia kuna wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye umeme, kilimo, ambako watapewa na maeneo.
jamani huyu Rais anaipiga nchi mnada
 
Mimi kinachonisikitisha na kutia wasi wasi ni speeed. Mbona tunakimbilia haya mambo kwa speed ya ajabu!
 
Hivi tunaposema viwanda kufufuliwa ushawahi kujiuliza kwanini hakuna jitihada zilizofanyika na kutekelezeka katika kufufua viwanda kama General tyre Arusha, Urafiki Dar, Mwatex, Kilitex, Tanzani Packers na vinginevyo badala yake tunaunda vikundi vya wafyatua matofali na vikundi vya ushonaji kisha tunaviita ndo viwanda?
 
Chini ya rais mzalendo Magufuli taifa letu lilikuwa limeachana kutegemea hawa watu wanaoitwa wawekezaji, ambao wengi wao huwa ni wanyonyaji wa rasilimali zetu za nchi, tulikuwa tumeachana na kwa wawekezaji uchwara

Tuliwapa nafasi wawekezaji wa ndani wenye asili haswa ya kitanzania kama akina Saninu Laizer na tuliona matokeo yake, pia tlianza kufufua viwanda vilivyokuwa vimebinafishwa na kutelekezwa na kazi ilikuwa inaenda vizuri

Sasa Samia anaenda kuipiga nchi mnada, nasikia kuna wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye umeme, kilimo, ambako watapewa na maeneo.
jamani huyu Rais anaipiga nchi mnada
Ahaa kumbe ndio maana naniliu ni naibu waziri wa ardhi ili ahakikishe kuwa hao marafiki zao wanapewa ardhi kwa ajili ya uwekezaji.
 
Hakika mama atakumbukwa kwa speech zake za kutia moyo wa tanzania hasa ile ya juzi ya kupanda kwa bei ya bidhaa aliposema huu ni mwanzo tu na vitu vitapanda juu sana

Binafsi naona mama anazidi kuupiga mwingi sana mwenyezi MUNGU amuongeze miaka mingine 30 zaidi ili nchi yetu iweze kupata inachostahili

Sijawahi ona raisi anajali wanyonge kama mama

Mama anafanya maisha yawe rahisi sana watanzania wenzangu tumpe ushirikiano

Mwisho mafuta ya kula kwetu litre 10 ni shillingi 64k........

Vipi nyie huko kwetu?
 
Hawatakuelewa
 
Back
Top Bottom