Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Rubbish
 
Unfortunately huna hata sehemu moja ya kuonyesha huo uharibifu 😬😬
 
Mwambieni Samia.
Chapati imefika 1,000
Samia ndio kaanzisha vita na kuweka vikwazo?Kwani chakula no chapati tuu? Kula mihogo.

Mnaacha kulima ngano mnasubiria kuambiwa na Samia 😁😁

Hata hivyo sijui huwa mnapotosha kumdanganya nani,mbona bei ya chapati ni ile ile ya 250-500?

Chapati ya Serena hotel ulikltaka iwe ya sh.ngapi?
 
chapati ilikuwa 250.
Leo chapati 1,000?
mkisifu mkumbuke na madhaifu kitaa hali mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…