Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,448
- 1,790
Kila nikikuona wewe, naona kama nimemuona Diamond na wcb wakeR.I.P JPM
sijui kwanini, hem nipe siri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nikikuona wewe, naona kama nimemuona Diamond na wcb wakeR.I.P JPM
Kwa mimi
Leo hii naona afadhali jiwe angeendelea kua rais tu, ,
Kila hotuba vijembe na mipasho utahisi anaongea na wanawake wenzie kwenye vikoba.
hata miaka 20 ijayo ukimuwekea mtoto wako asikize hotuba ya kiongozi huyo watashangaa na huyu aliwahi kuwaongoza kwa uwezo wake huu alionao yaani watakuuliza mlipata maendeleo kweli kwa kiongozi wa namna hii?
Kila nikikuona wewe, naona kama nimemuona Diamond na wcb wake
sijui kwanini, hem nipe siri
Ataendeleaje kuwa rais wakati kesha kufa?
Ukiambiwa lete rais utamleta jiwe!!!?
Kwahyo nawewe umeleta vijembe hapa[emoji28]
kuna kitu alikufanyia?Sababu ni hater wake mkubwa
Nakaziabora kupigwa vijembe kuliko risasi
kuna kitu alikufanyia?
Nimetaka mimi tu binafsi kujuaAmekutuma uulize?
Mtoto wa pwani huyo , mumzoeeVijembe anatufundisha bimdashi
Nimetaka mimi tu binafsi kujua
Vita ni mbaya mabando na tozo za miamala ni mataokeo ya vita vya ukraine.Kama mfumuko wa bei umesababishwa na vita vya Ukraine na Urusi kama anavyojinasibu dada mmoja akisikika,je vita ikiisha 2040,tutakuwa na hali gani? Halafu majinga flani yanasema anaupiga mwingi,ni full kusifu na kuabudu utafikiria yeye ndo anayapa pumzi, pumbavu kabisa