Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Simba wa Yuda akishikwa sharubu anakuparua.
2.Vyama vya upinzani vimechambukachambuka.
3.Bunge linademka.
4.Wanaume ni SPERM DONAR TU.
Ongeza zako
Weka na kauli Tata za dikteta muuaji!,Tujikumbushe kauli tata za Rais Samia ambazo zimeleta utata katika uongozi wake. Na mambo ndivyo yanavyoenda kulingana na kauli zake.
1. Mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake ila asivimbiwe.
2. Bei za bidhaa lazaima Zipande. Kila kitu kitapanda.
Weka nyingine.
Sasa tafuta kauli za nzilankande .Tujikumbushe kauli tata za Rais Samia ambazo zimeleta utata katika uongozi wake. Na mambo ndivyo yanavyoenda kulingana na kauli zake.
1. Mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake ila asivimbiwe.
2. Bei za bidhaa lazaima Zipande. Kila kitu kitapanda.
Weka nyingine.
1. Wakati wa kampeni sikusema nitaleta tetemeko la ardhi (kagera)Weka na kauli Tata za dikteta muuaji!,
Huu nahisi ni uongo wa karne"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja."
5/ mtanikumbuka tena kwa mazuri na si mabaya1. Wakati wa kampeni sikusema nitaleta tetemeko la ardhi (kagera)
2. Ukanye mavi yako nyumbani kwako
3. Kama hamtaki kulipa mpige mbizi (kigamboni)
4. Nasikia huku kuna mto ngono (kagera)
Mbona huo uzi upo! Hujauona?😀Sasa tafuta kauli za nzilankande .