Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mimi ninachokiona Tz ni kile kilichotokea Russia 1917.

The Great Bolshevik Revolution
 
Tujikumbushe kauli tata za Rais Samia ambazo zimeleta utata katika uongozi wake. Na mambo ndivyo yanavyoenda kulingana na kauli zake.

1. Mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake ila asivimbiwe.

2. Bei za bidhaa lazaima Zipande. Kila kitu kitapanda.

Weka nyingine.
 
1.Simba wa Yuda akishikwa sharubu anakuparua.
2.Vyama vya upinzani vimechambukachambuka.
3.Bunge linademka.
4.Wanaume ni SPERM DONAR TU.
Ongeza zako
 
Tujikumbushe kauli tata za Rais Samia ambazo zimeleta utata katika uongozi wake. Na mambo ndivyo yanavyoenda kulingana na kauli zake.

1. Mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake ila asivimbiwe.

2. Bei za bidhaa lazaima Zipande. Kila kitu kitapanda.

Weka nyingine.
Weka na kauli Tata za dikteta muuaji!,
 
Sasa tafuta kauli za nzilankande .
 
Weka na kauli Tata za dikteta muuaji!,
1. Wakati wa kampeni sikusema nitaleta tetemeko la ardhi (kagera)

2. Ukanye mavi yako nyumbani kwako

3. Kama hamtaki kulipa mpige mbizi (kigamboni)

4. Nasikia huku kuna mto ngono (kagera)
 
6/ msiende kujiendekeza

7/ sijaumbwa kufokafoka

8/ ukinizingua nitakuzingua
 
1. Wakati wa kampeni sikusema nitaleta tetemeko la ardhi (kagera)

2. Ukanye mavi yako nyumbani kwako

3. Kama hamtaki kulipa mpige mbizi (kigamboni)

4. Nasikia huku kuna mto ngono (kagera)
5/ mtanikumbuka tena kwa mazuri na si mabaya

6/ nimeyatoa maisha yangu km sadaka

7/ malaika wataishi km mashetani

8/ukitoa pesa dai risiti
 
"kwani Mimi ndo wa kwanza kukopa".
"
" Kazi iendelee"

" Ukinizingua nakuzingua".
 
Nakuparua kwa kukwambia ukweli Ili uhujue.hali ya maisha inazidi kuwa ngumu mtaani sisi tandamane?
 
Back
Top Bottom