Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kama mfumuko wa bei umesababishwa na vita vya Ukraine na Urusi kama anavyojinasibu dada mmoja akisikika,je vita ikiisha 2040,tutakuwa na hali gani? Halafu majinga flani yanasema anaupiga mwingi,ni full kusifu na kuabudu utafikiria yeye ndo anayapa pumzi, pumbavu kabisa
 
Mzimu wa mwendazake bado unawasumbua. Mtaendelea kubwabwaja hadi lini? Ifike wakati mkubaliane na ukweli kwamba, Simba wa Chattle hayupo tena na hatarudi. Tumuunge mkono na kumsaidia aliyepo ili tulisogeze taifa letu kimaendeleo.
 
Vita ni mbaya mabando na tozo za miamala ni mataokeo ya vita vya ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…