Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Ukiua pasipo kafara huwezi kung'aa ngoja tuendelee na msiba Mungu atusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaekulazimisha afanye kama anajikuna popote alipo tumwone tafadhali🤔Hali ni mbaya kila kona. Vitu vinapanda bei kila kona. Biashara ni ngumu,ajira sekta binafsi na hata serikalini ni ngumu.
Kisingizio kimekuwa ni vita vya Ukraine.
Tunaambiwa kuna shehena ya mafuta iliagizwa toka mwaka jana kabla ya vita vya Ukraine. Lakini sasa hivi imependa bei.
Hali imekuwa ngumu mitaani maana mafuta ni kila kitu.
Royal tour iliyotiliwa mkazo na mkuu wa nchi kiasi cha kwenda kuzurula Usa kwa wiki mbili haina tika kwa raia wa kawaida ili lazima tukubali. Maana haina impact yoyote kwenye mabadiliko ya maisha yao.
Ukweli ni kuwa hajaonyesha hali ya kujali maisha ya raia wa kawaida tangu aingie madarakanai. Zaidi ya kundi la akina Nape na Makamba na akina Rostam Azizi.
Sasa mbona mnalazimisha raia wa kawaida wamkubali mama?
Kwanini watulazimishe kuona mazuri yake? sisi hatumwelewi ndiyo ukweliHali ni mbaya kila kona. Vitu vinapanda bei kila kona. Biashara ni ngumu,ajira sekta binafsi na hata serikalini ni ngumu.
Kisingizio kimekuwa ni vita vya Ukraine.
Tunaambiwa kuna shehena ya mafuta iliagizwa toka mwaka jana kabla ya vita vya Ukraine. Lakini sasa hivi imependa bei.
Hali imekuwa ngumu mitaani maana mafuta ni kila kitu.
Royal tour iliyotiliwa mkazo na mkuu wa nchi kiasi cha kwenda kuzurula Usa kwa wiki mbili haina tika kwa raia wa kawaida ili lazima tukubali. Maana haina impact yoyote kwenye mabadiliko ya maisha yao.
Ukweli ni kuwa hajaonyesha hali ya kujali maisha ya raia wa kawaida tangu aingie madarakanai. Zaidi ya kundi la akina Nape na Makamba na akina Rostam Azizi.
Sasa mbona mnalazimisha raia wa kawaida wamkubali mama?
Mshikishwa ukuta ambaye #dishlimetilt at workMfuasi wa Mzoga huyo kachanganyikiwa.View attachment 2219572 Hahaahaa!!
Nchi ipi iliyogawanyika hapa.Nchi imegawanyika sana hii na ikiendelea kama hivi itasambaratika tuu. Wengi wanataka iongozwe kidikteta, iongozwe kama China. Wengine wanataka iongozwe kidemokrasia kama nchi za magharibi. Mwisho wake tutakuwa kama ilivyokuwa Korea, upande wa kaskazini unafungamana na China, upande wa kusini unafungamana na Marekani. Nchi ikagawanyika na kuwa nchi mbili, North Korea na South Korea. Nchi haiwezi kubaki pamoja kama watu wanataka mifumo tofauti.
🤣🤣Kuna Vidonge vinaitwa Prozac vinatibu Stress anxiety vinatibu pia NONGWA.
Fluoxetine, sold under the brand names Prozac and Sarafem among others, is an antidepressant of the selective serotonin reuptake inhibitor class. It is used for the treatment of major depressive disorder, obsessive–compulsive disorder, bulimia nervosa, panic disorder, and premenstrual dysphoric disorder. Wikipedia
IUPAC ID: N-methyl-3-phenyl-3-[4-(trifluoromethyl)phenoxy]propan-1-amine
Molar mass: 309.33 g/mol
Formula: C17H18F3NO
CAS ID: 54910-89-3
Pronunciation: /fluˈɒksətiːn/
Metabolism: Liver (mostly CYP2D6-mediated)
Protein binding: 94–95%
Tafadhali jaribu.
👍Nchi ipi iliyogawanyika hapa.
🤣Sidhani kama mleta uzi yupo miongoni mwa wale walio na digrii nchi hii.
Tangu mama yako aliporudi nyumbani kwa cheti bandia akili zenu ziliyumba mpaka leo.Nchi aligawa yule DIKTETA wa Chato ambaye alisema hapeleki maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na upinzani. Na akatumia fedha zetu kujenga miundombinu mikubwa kijijini kwake Chato.