Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Leo ITV nimeona maandishi chini kwenye runinga eti mkoa wa Kilimanjaro kuomba msaada wa chakula sababu ya ukame! Aise nimemkumbuka yule mwamba alivyopiga mkwara wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi.
 
Sirudi MISRI, Nachagua kwenda MBELE bt DRIVER abadilishwe maana atupeleka SHIMONI.

Vp hapo, afu punguza matusi na mihemko, usijibu Kila k2, utapoteza focus, ndomana umeanza kutukana.
Wala usijari utambadilisha 2030 Kiti anachukua Comrede Mwigulu Nchemba,mtanyooka tuu.
 
Unayemtumikia Nchemba siyo!!!!

Mbona TOZO hii ni ya mwisho kwake akiwa waziri? Utakuwa unemployed!!!
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Kwani uliambiwa kuna tozo gani nyingine inatakiwa? Tozo ni za miamala ziko tayari kilichobakia ni Kazi iendelee
 
ITV habari saa 2:00 usiku huu (21.8.2022);

Manyara waandamana kumpongeza Raisi Samia Suluhu Hassan......
  • kutoweka kwa kero ya maji,
  • madarasa na zahanati n.k.

Mtapata tabu saaana hadi 2025 au 2030.........lazima nyote mvae khanga kudadadadeki!!!
 
Nimekuelewa Jp Omuga.
 
Lazima niwe nahisia japo nalipa kodi huku lakini bado natuma pesa nyumbani na hayo makato yata ni affect. Sasa nimegundua watu kama nyie mnaotetea ujinga kama huu ni wazi hamjui pesa.
Hahaha. Embu endelea na mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…