Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Leo ITV nimeona maandishi chini kwenye runinga eti mkoa wa Kilimanjaro kuomba msaada wa chakula sababu ya ukame! Aise nimemkumbuka yule mwamba alivyopiga mkwara wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi.
 
Sirudi MISRI, Nachagua kwenda MBELE bt DRIVER abadilishwe maana atupeleka SHIMONI.

Vp hapo, afu punguza matusi na mihemko, usijibu Kila k2, utapoteza focus, ndomana umeanza kutukana.
Wala usijari utambadilisha 2030 Kiti anachukua Comrede Mwigulu Nchemba,mtanyooka tuu.
 
ITV habari saa 2:00 usiku huu (21.8.2022);

Manyara waandamana kumpongeza Raisi Samia Suluhu Hassan......
  • kutoweka kwa kero ya maji,
  • madarasa na zahanati n.k.

Mtapata tabu saaana hadi 2025 au 2030.........lazima nyote mvae khanga kudadadadeki!!!
 
Kwenye mfano wake wa Treni kapatia kabisa. Yote aliyofanya JPM kwa speed ni ishara yanaendana na hulka ya treni.
Asilimia kubwa JPM ndo alilitumbukiza taifa kwenye mkanganyiko huu wa tozo!

SSH ni zao na kiongozi wa ccm... kama anafeli ni ujumbe tosha kuwa ccm inashindwa kuendesha nchi! Tatizo wananchi wanaimani na watu badala ya mifumo.
Tatizo kubwa zaidi upinzani wapo usingizini!
Nimekuelewa Jp Omuga.
 
Lazima niwe nahisia japo nalipa kodi huku lakini bado natuma pesa nyumbani na hayo makato yata ni affect. Sasa nimegundua watu kama nyie mnaotetea ujinga kama huu ni wazi hamjui pesa.
Hahaha. Embu endelea na mambo mengine.
 
Back
Top Bottom