Atakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo nitamuunga mkono kwa asilimia 100
Nipo tayari kuunga mkono vuguvugu lolote la maandamano ya kupinga tozo.
Sio tu support ya kuingia barabarani, bali hata support ya kifedha, nipo tayari kutoa hata nusu ya uwezo wangu kusaidia maandamano ya kumng'oa huyu chifu madarakani
Hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye Hata kujiongoza mwenyewe hawezi, urais wenyewe haongozi yeye anaongozwa ongozwa tu.
Hana brain ya kuongoza nchi, hana ubunifu, hana mawazo yeye yupo bora liende tu, anafanya hivyo kwa kua anajua hii nchi ya Watanganyika, anajua kabisa mwishoni hata akipambana watakaonufaika ni watanganyika, yeye anajijazia tu CV yake akimaliza muda wake akampumzike zake pale kisiwani.
Anachokifanya Samia kwa Tanganyika ni sawa na umchukue rais wa Kenya umlete aje kutawala TZ hapo moyo wa kutumikia tz hatokua nao atafanya mambo yaende tu hivyo hivyo maana mwishoni anajua atarudi zake Nairobi the same to Hangaya, hivi mnadhani Samia angekua rais wa ZANZIBAR angeyafanya haya anayotufanyia watanganyika?Jibu ni hapana.
Huyu kilichobaki ni wananchi tumkatae hadi aondoke uchaguzi uitishwe hatuwezi tukaongozwa na huyu bibi ambaye yeye anaongozwa na kina msoga na mwigulu zile story zake za kutuambia huwa halali ni urongo wa zama!!eti asilale kisa watanganyika[emoji32] sio kweli kabisa.
Nipo tayari kushiriki maandamano ya kumng'oa huyu bibi, nitatoa nusu ya uwezo wangu kuwasapoti watakaoanzisha maandamano ya amani na ya kisheria ya kumpinga huyu Chief.
Useless kabisa!!!hamna kitu pale tumepigwa!