Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
No where [emoji850]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikatiba Baraza la Mawaziri ndio mshauri Namba Moja wa Mhe Rais. Sasa wewe unataka aiswasikilize Mawaziri Ili kesho mseme hakuwa anasikiliza wasaidizi wake na anavunja katibahali ya maisha ni ngumu, bei ni kubwa masokoni ,tozo imekuja kukita juu ya kidonda kibichi cha ugumu wa maisha..
Ewe Allaah tunusuru na dhuluma hii.
Tumekuwa watu wa kumwomba mama kila kitu kama vile nchi hii ni mali yake.hali ya maisha ni ngumu, bei ni kubwa masokoni ,tozo imekuja kukita juu ya kidonda kibichi cha ugumu wa maisha..
Ewe Allaah tunusuru na dhuluma hii.
Wale vijana Mwigulu, Makamba, Nape ni Majizi yasiyo na uchungu. Tunajuuta kuchagua vijana! ISIPOKUWA Hussein Bashe! my presidential material!hali ya maisha ni ngumu, bei ni kubwa masokoni ,tozo imekuja kukita juu ya kidonda kibichi cha ugumu wa maisha..
Ewe Allaah tunusuru na dhuluma hii.
kwahiyo kwa sasa mnakula rahaa.
Sasa kama utawala wa magufuri nilikuwa nalala chini na utawala wa mama samia umenipa kitanda na godoro nisiseme ukweli😎kwahiyo kwa sasa mnakula rahaa.
Sasa naumizwa na nini hapo, kwa mfano?imekuuma eeh
Umetoka kwenye mada.Kwenye hili, Akili yako haijatulia ndo maana nasisitiza endelea na mambo mengine.
Mimi nasupport aondelewe madarakani aidha na JWTZ au popular revolution yani wananchi.Atakayehamasisha maandamano ya kupinga tozo na kumuondoa Samia nitamuunga mkono kwa asilimia 100.